12.01.202612 Januari 2026 Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz awasili India kwa ziara rasmi ya siku mbili. Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran latahadharisha kuhusu mauaji ya halaiki katika maandamano. Na Syria yaudhibiti kikamilifu mji wa Aleppo. https://p.dw.com/p/56et4 Post navigation Bobi Wine: Rais wa Wananchi katika uchaguzi wa kihistoria 12.01.2026 Matangazo ya Mchana