14.01.2026 Matangazo ya Asubuhi14.01.2026 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ14 Januari 2026

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran / Shinikizo kutokana na hoja ya Marekani kutumia nguvu za kijeshi kuitwaa Greenland kijeshi, limeiweka Jumuiya ya Kujihami ya NATO mahala pabaya

https://p.dw.com/p/56mbt

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *