Licha ya jitihada zinazofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa katika kupambana na vitendo vya ukatili, hasa dhidi ya watoto, imeelezwa kuwa baadhi ya wananchi wameendelea kukaidi sheria na maadili ya jamii.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *