#Repost @ourafricanfooty
——
Mwamuzi wa fainali ya AFCON, Jean Jacques Ndala, ndiye aliyetoa penalti nyingi zaidi katika mashindano haya ya AFCON.

Alitoa penalti katika mchezo wa Morocco dhidi ya Comoros
Alitoa penalti katika mchezo wa Tunisia dhidi ya Tanzania
Alitoa penalti katika mchezo wa Morocco dhidi ya Senegal
Hata hivyo, penalti 1 tu kati ya 3 ndiyo ilifungwa na kuwa bao.

#AFCON2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *