Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuachana na mila potofu zinazokataza ulaji wa vyakula vyenye virutubisho muhimu, hususan kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Hatua hiyo inalenga kuimarisha afya na ukuaji wa watoto licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kupunguza tatizo la udumavu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi