Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kuiondolea vikwazo Guinea vilivyowekwa kufuatia mapinduzi ya mwaka 2021.
Uamuzi huo unakuja baada ya nchi hiyo kufanya uchaguzi wa Rais Desemba mwaka jana na kurejea kwenye utawala wa kikatiba wa kiraia.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)