“Kutokana na mabadiliko yaliyopo katika jamii, kuna vitu vinaonekana vimepitwa na wakati lakini siyo kila kitu. Mfano, kwa upande wa misemo ya wahenga, haipaswi kuachwa bali inapaswa kufanyiwa mabadiliko,” amesema mdau wa masuala ya kijamii, Hashimu Kusaga.

#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *