Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Dk Razaro Komba kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Peramiho.
Uteuzi wa Dk Komba umefanywa leo Jumapili na Kamati Kuu ya CCM iliyoketi chini ya Mwenyekiti wake Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan visiwnai Zanzibar.
Komba ameteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kufuatia kifo cha aliyekuwakuwa mbunge wa jimbo hilo, Jenista Muhagama..
Awali Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista, aliibuka mshindi katika kura za maoni.
#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)