
Watu wenye silaha wawaua polisi watatu katika jimbo la kaskazini magharibi la Katsina nchini Nigeria
Maafisa watatu wa polisi wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya washukiwa wa ujambazi kuwashambulia wakiwa kwenye doria yao katika jimbo la kaskazini magharibi la Katsina nchini Nigeria siku ya Jumanne.