30 Januari 2026

Kinara wa chama cha DCP na aliyekuwa naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua, anadai mashambulizi  kadhaa yamekuwa yakitekelezwa dhidi ya maisha yake akiilaumu serikali ya Rais William Ruto kuwa nyuma ya mashambulizi hayo.

https://p.dw.com/p/57kgN

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *