Rais wa Chama cha Wataalamu wa Matibabu ya Mionzi Tanzania (RAOTA), Dkt. Fredrick Ludovick
amesema miongoni mwa njia rahisi za kupambana na saratani ni pamoja na uchunguzi wa awali. Amewashauri wananchi kupima afya zao mara kwa mara ili kugundua iwapo wana vimelea vya ugonjwa huo na kuanza tiba mapema.
✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | John Mbalamwezi
#AzamTVUpdates