Mkurugenzi wa Hospitali ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo amesema idadi ya wagonjwa wa saratani wanaotibiwa katika hospitali hiyo inaendelea kuongezeka, na kuwataka wananchi kujenga utamaduni wa kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara ili endapo watagundulika kuwa na saratani iwe rahisi kupewa matibabu na kupona..
Mhariri | John Mbalamwezi
#azamtvupdates