Kwa wasafiri wengi wanaopita Singida kwenda mikoa mbalimbali wamekuwa wakisalia na simulizi moja inayofanana na kuhamasisha ‘Utamu wa Kuku wa Singida’.

Hivi umewahi kujiuliza ni kwa nini simulizi hiyo imeendelea kuvuma kwa miaka mingi?

Mwenzetu Deus Liganga wa Singida ametutafutia majibu

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *