Mradi wa ‘Mabasi Yaendayo Haraka’ mkoani Dar es Salaam umeendelea kuwa sehemu ya mataifa mbalimbali kujifunza namna bora ya uendeshaji wake.

Hii leo viongozi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamefika kujifunza kwa vitendo namna ya uendeshaji wenye tija wa mradi huo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *