Rais Samia Suluhu Hassan amemuweka pembeni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatuma Mwassa na kumteua Kanali Yahaya Ramadhani Kido kushika nafasi hiyo.
Uteuzi huo umetangazwa usiku huu kupitia taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu.
Pia Rais Samia amemteua Kanali Donald William Msengi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kuchukua nafasi ya Kanali Patrick Kenan Sawala atakayeoangiwa majukumu mengine.
#StarTvUpdate