KMC vs SIMBA: Kocha wa Simba SC, Steve Barker amesema hakuna mechi rahisi kwenye ligi na wachezaji wake wameonesha kujitoa katika kila mechi kuhakikisha wanaimarika.
Kocha Barker anasema wametengeneza msingi mzuri na sasa wachezaji wapya wanaendelea vema.
Kwa upande wake beki David Kameta ‘Duchu’ anasema ni kweli KMC ipo mwishoni mwa msimamo wa ligi, lakini sio timu dhaifu.
Mechi ni kesho katika dimba la KMC Complex, saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi