SINGIDA BS vs FOUNTAIN GATE: Kocha wa Singida BS, David Ouma anasema wapo wachezaji ambao hawakuwatumia kwenye michuano ya CAF, lakini wanaweza kuwatumia kwenye NBC Premier League.
Ouma anasema wameamua kuuchagua uwanja wa Azam Complex, kwasababu ndio dimba ambalo waliandika historia ya kutinga hatua ya makundi wakiwa hapo.
Kwa upande wake mchezaji Athman Ismail anawaomba wakazi wa Chamazi, wajitokeze Azam Complex, kuipa nguvu timu yao.
Ni mechi ya NBC Premier League ambayo itapigwa saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi