Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, jijini Addis Ababa Ethiopia, leo Februari 12, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Rais Samia amepokelewa na Waziri wa Kazi na Ukuzaji wa Ujuzi wa Ethiopia, Muferihat Kamil Ahmed. (Picha na Ikulu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *