Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza uongozi wa halmashauri ya wilaya ya handeni Mji mkoani Tanga,kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa vifaa tiba kwa ajili ya Jengo la ICU ili wananchi wawaze kuapata huduma .
Dkt Nchemba ametoa maagizo hayo wakati wa ziara yake ya kukagua na kuweka jiwe la Msingi kwenye Jengo hilo la ICU ikiwa ni sehemu ya ziara yake anayoifanya kwenye wilaya za mkoa wa Tanga.
Amesema lengo la serikali ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma zilizobora na kwa wakati hivyo ni vyema halmashauri ikashiorikiana na wadau wengine kuhakikisha mchakati huo wa upatikanaji wa vifaa unakamilika.
(Feed generated with FetchRSS)