“…..Mkurugenzi kuna ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Chongoleani, mmepokea fedha tangu tarehe 3 mwezi wa nne mwaka 2025 ni mwaka sasa hamjaanza ujenzi na fedha hizo zipo kwenye akaunti mnataka kuzifanyia nini….”-Waziri Mkuu – Dkt. Mwigulu Nchemba.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.