#HABARI: Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ametangaza kuwa mwezi umeandamana na kesho Waislamu nchini Tanzania, wataanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Kufuatia kuandama kwa Mwezi Mtukufu, Waumini wa dini ya Kiislamu katika maeneo mbalimbali nchini Wataanza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Febuari 19, 2026
Mwezi umeonekana katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar na Kenya.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.