#HABARI: Viongozi wa upinzani nchini Kenya wameibua madai ya kutumiwa nguvu kupita kiasi na serikali kupitia maafisa wa polisi na magenge ya vijana juu ya kuvuruga mikutano ya kisiasa ya viongozi wanaopinga utawala wa Rais William Ruto, upinzani hivi sasa umeitaka idara ya Polisi kuheshimu utawala wa sheria.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)