Mtaalamu wa Uchumi Wilbald Msofe amesema kuwa maandalizi ya maisha ya kustaafu yanapaswa kuanza tangu siku ya kwanza mtu anapoajiriwa.
Msofe ameeleza kuwa wafanyakazi wengi hufanya kosa la kusubiri hadi wanapokaribia umri wa kustaafu ndipo waanze kupanga maisha yao ya baadaye, jambo linalosababisha baadhi yao kukumbwa na changamoto za kifedha mapema baada ya kuacha kazi.
✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)