AZAM FC vs MTIBWA SUGAR: “…tunataka tushinde mechi zote za nyumba”

Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anasema wajipanga kuwa bora zaidi ya wapinzani wao Mtibwa Sugar ili kukaa kwenye malengo yao ya kushinda kila mchezo wa nyumbani.

Anasema mechi itakuwa ngumu lakini ana imani na wachezaji wake huku akieleza jinsi atakavyochukua tahadhari kiulinzi wakati akishambulia…

Mechi itapigwa saa 3:30 usiku LIVE #azamSports1HD

#NBCPremierLeague #NBCPL #ImenogaZaidi #AzamFC #MtibwaSugar #AzamMtibwa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *