Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Marekani inahujumu na kukabiliana na Iran kwa sababu inataka taifa hili liwe tiifu kwake, lakini wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu watapambana vikali na “tusi hilo kubwa”.
BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
