Vyombo vya Habari zaidi ya 250 katika nchi zaidi ya 70 duniani, zimechapisha Habari kuu, siku ya Jumatatu, kulaani kuendelea kuuawa kwa wanahabari kwenye ukanda wa Gaza na kutaka mashambulio dhidi yao yakome.