“Utendaji wa Rais Samia anastahili kupata alama ‘A’, kwa sababu wakati ameingia madarakani mazingira ambayo aliyakuta kiasi ambacho biashara ya Tanzania duniani ilikuwa dola Bilioni 17 tu , leo biashara ya Tanzania duniani ipo zaidi ya Dola Bilioni 32, leo viwanda vya kuchakata madini vimeongezeka kutoka viwili mpaka 9, viwanda vya nyama kutoka 3 mpaka 7, inajengwa bandari ya uvuvi kubwa nk,Serikali ya awamu ya sita, chini ya Mhe.Samia Suluhu Hassan imefanya makubwa” -David Kafulila – Mkurugenzi Mtendaji wa PPP
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania