#HABARI: Viongozi wa Dini Mkoani Manyara, akiwemo Katibu Mkuu wa BAKWATA Mkoani humo Alhaj Ahmad Said na Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki wamewataka wananchi nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu utakofanyika nchini Tarehe 29.10.2025 ili waweze kutimiza haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi wanaowataka kuanzia ngazi ya Diwani, Mbunge na Rais.
Pia viongozi hao wamewasihi wananchi kuendelea kulinda na kutunza amani ya nchi, wakati wa Kampeni na wakati wa kupiga kura kwa kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.