Mgombea wa Chama cha UPDP, Hamad Muhamed Ibrahim ameahidi kuyaingiza makundi maalumu kwenye utaratibu wa kupiga kura ya mapema ili kuepuka msongamano.

Ameyasema hayo leo wakati akihitimisha kampeni zake kwa kuzungumza na waandishi wa habari mjini Unguja, huku akibainisha kuwa miongoni mwa makundi anayoyalenga ni wazee, wajawazito, na watu wenye ulemavu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *