Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema ipo tayari kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwa sasa wanamalizia mambo machache ya maandalizi kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura, vikiwemo vile vilivyohamishwa katika baadhi ya maeneo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi