Huu mwaka mchungu
Maneno ya mwanasheria wa kimataifa
“Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni iko sahihi katika kusema kwamba kwa bahati mbaya, uwekezaji wa Marekani nchini Tanzania hauwezekani tena kutokana na utawala wa kiimla kabisa wa serikali, ikiwemo ukandamizaji mkubwa na mauaji. Mahusiano ya pande mbili yatakaguliwa. Nimeshawahi kusema hili hapo awali, na nitasema tena: Hatua ambazo serikali ya Tanzania iko tayari kuchukua ili kubaki madarakani, kinyume na matakwa ya watu wake, zinashtua sana.”