AFCON 2025: Michuano yafunguliwa rasmi

Michuano ya AFCON 2025 inafunguliwa rasmi Jumapili 21 Disemba.

tokea saa limoja

Michuano ya AFCON 2025 inafunguliwa rasmi leo Jumapili 21 Disemba, na hapa mashabiki wa timu za Morocco na Comoro wanajigamba kila mmoja ataibuka mbabe katika mtanange wa kukata na shoka utakapigwa kwenye dimba la Prince Moulay Abdalla mjini Rabat, Morocco.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *