Waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran na serikali ya Yemen inayotambuliwa kimataifa wamekubaliana kubadilishana wafungwa karibu 3,000 kutoka pande zote mbili, maafisa kutoka pande zote mbili wametangaza leo Jumanne, Desemba 23.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Serikali imefikia makubaliano na Wahouthi ambayo yangewezesha kuachiliwa kwa “maelfu” ya wafungwa wa vita, ametangaza Majed Fadhail, mjumbe wa ujumbe wa serikali unaosimamia mazungumzo ya kubadilishana wafungwa.

“Leo tumesaini makubaliano na upande mwingine kutekeleza zoezi la ubadilishaji mkubwa wa wafungwa kwa kubadilishana kwa wafungwa wetu 1,700 kwa badala ya wafungwa wao 1,200, wakiwemo Wasaudi saba na Wasudan 23,” amesema Abdelkader al-Mourtada, mkuu wa ujumbe wa Houthi, katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumanne Diemba 23.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *