Umoja wa Ulaya unahimiza kuheshimiwa kwa mamlaka ya Somalia baada ya Israel kuitambua Somaliland
Umoja wa Ulaya umesisitiza kuwa mamlaka ya Somalia inapaswa kuheshimiwa baada ya Israel kulitambua rasmi eneo lake la kaskazini la Somaliland kuwa taifa huru.