Jesse Jackson: Mfuasi wa Martin Luther King aliyeipa sura mpya Marekani
Akiwa mfuasi wa Martin Luther King Jr., Jackson alijenga kazi yake kwa kuandaa kisiasa na kuboresha maisha ya Wamarekani wenye asili ya Afrika.
Akiwa mfuasi wa Martin Luther King Jr., Jackson alijenga kazi yake kwa kuandaa kisiasa na kuboresha maisha ya Wamarekani wenye asili ya Afrika.
Nchini Gambia, serikali inasema “ina wasiwasi mkubwa” kuhusu raia ambao wameenda nje ya nchi kupigana, wakikusudia “kujiandikisha katika migogoro ya silaha.” Imechapishwa: 22/02/2026 – 09:34 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Nilitendwa na mwanaume niliyempenda na niliamini tungeoana kwa maneno mazuri aliyokuwa...
Nchini DRC, kufuatia onyo la IMF kuhusu muswada wa mishahara unaoongezeka, ambao sasa unazidi nusu ya bajeti ya serikali, Rais Félix Tshisekedi anajikita katika usimamizi wa mishahara ya wafanyakazi wa…
ARUSHA: Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya muhimili mkuu katika ustawi wa uchumi wa Tanzania, ambapo kupitia taasisi zake 13, inabeba jukumu la msingi la kuchochea uanzishaji na…
Tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili, Februari 8, lakini liligunduliwa siku ya Ijumaa, Februari 20. Shirika la ndege la Air Côte d’Ivoire, lilikuwa mwathiriwa wa shambulio hilo la mtandaoni. Kulingana…
Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume ndiyo huwatelekeza watoto wao kwa mama zao, jambo...
Nchini Chad, wanajeshi wanne waliuawa usiku wa Februari 17 kuamkia 18 katika jimbo la Borkou, kaskazini mwa mbali mwa nchi. Inaripotiwa kwamba tukio hilo lilitokea wakati wa makabliano na majambazi…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ametuma salamu za rambirambi kutokana na...
Siku ya Ijumaa, Februari 20, Mahakama Kuu ya Marekani iliamua kwamba baadhi ya ushuru uliowekwa na Donald Trump duniani kote ulikuwa kinyume cha sheria. Uamuzi huu unapaswa kusababisha kuondolewa kwa…
Kufuatia kushindwa kwa mkakati wake wa kiuchumi, Donald Trump alitangaza Jumamosi, Februari 21, kwamba angeweka kizuizi cha biashara cha kimataifa cha 10%, kisha 15%, kwa ulimwengu mzima. Mahakama Kuu ya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kuhusu uchukuaji hatua za kujibu mapigo kukabiliana na uamuzi haramu wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya,…
Matamshi ya balozi wa Marekani katika utawala wa kizayuni wa Israel Mike Huckabee kwamba utawala huo ghasibu una haki ya kupanua eneo lake kwa kupora eneo kubwa la Mashariki ya…
Ufaransa imekabidhi "ngoma inayozungumza" ambayo iliporwa na wanajeshi wake wa kikoloni nchini Ivory Coast mnamo mwaka 1916, katika hatua ya karibuni zaidi kuchukuliwa na serikali ya Paris ya kurejesha vito…
Sambamba na kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, jeshi la utawala wa Kizayuni limeshadidisha mashambulizi yake katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi huko Palestina.
Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amesisitiza kwamba, suala la kuutambua rasmi utawala wa Kizayuni wa Israel si jambo ambalo lipo katika ajenga za nchi hiyo.
MOROGORO: THE Tanzania Forest Services Agency (TFS) has released the results of laboratory tests conducted on honey samples sent to an internationally accredited laboratory in Germany, indicating that 96 per…
Maoni ya umma nchini Marekani katika mwaka huu wa 2026, yanapinga vikali chokochoko yoyote mpya ya kijeshi dhidi ya Iran. Fikra za walio wengi nchini Marekani zina mtazamo hasi kuhusiana…
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S economy has received a vote of confidence from global ratings agency Moody’s Ratings, which has affirmed the country’s long-term foreign and local currency sovereign ratings at…
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S economy has received a vote of confidence from global ratings agency Moody’s Ratings, which has affirmed the country’s long-term foreign and local currency sovereign ratings at…
Presha inapanda presha inashuka bado siku saba kufika Machi Mosi, siku ambayo Afrika na Dunia kushuhudia Kariakoo Derby ini Yanga SC dhidi ya Simba SC pale New Amaan Complex, Zanzibar…
Wanafunzi katika vyuo vikuu kadhaa nchini Iran wamefanya maandamano ya kupinga serikali, maandamano ya kwanza ya aina hiyo kwa kiwango hiki tangu ukandamizaji mbaya wa mwezi uliopita.
Soma zaidi hapa...
Safari ya Tumaini Msowoya ni mfano wa mwanamke aliyegoma kukata tamaa na kuamua kugeuza...
Hatimaye, Mirambo Yusuf amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Chama cha Wananchi (CUF) baada ya...
Tottenham na Newcastle wana shauku ya kumrudisha kwenye ligi kuu mshambuliaji wa Al-Hilal wa Uruguay mwenye umri wa miaka 26, Darwin Nunez.
Bwana Yesu asifiwe. Nakusalimu katika jina la Yesu. Naamini Mungu amekulinda na kukuvusha wiki...
Shirika la Amnest International limelaani mashambulizi ya Marekani katika eneo la Karibiani na huko Pasifiki.
Leo ni Jumapili mwezi 4 Ramadhani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 22 Februari 2026 Miladia.
Wawakilishi wa Russia na China katika mashirika ya kimataifa yenye makao yake mjini Vienna Austria wamesisitiza suluhisho la kidiplomasia kwa suala la nyuklia la Iran.
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, huenda likasitisha msaada na harakati zake za kibinadamu nchini Somalia ifikapo mwezi Aprili mwaka huu sababu ni ufadhili mpya kutopatikana haraka.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, makumi ya watu wameuawa kufuatia mashambulio dhidi ya vituo vya afya nchini Sudan.
Kamishna wa Umoja wa Ulaya, anayehusika na masuala ya misaada ya kibinadamu, amewasihi waasi wa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufungua njia za kibinadamu kwa ajili ya kupata misaada…
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limelaani hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Morocco dhidi ya mashabiki 18 wa Senegal waliopatikana na hatia ya kufanya vurugu kufuatia fainali ya Kombe la…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Uchawi unakwama Binti Msumi na mwanaye hawaelewi #KombolelaSeries (Feed generated with FetchRSS)
DAR ES SALAAM: LOOLING calm and relaxed, Baraka Samson walked to lane 4 as he and the other six runners from Class V lined for the 100m race at Filbert…
Mfanyabiashara kijana Monicah Nyambura akipatikana amekufa mtaani Githurai, na kuwaacha majirani zake na watumiaji wa mitandao ya kijamii wakitafuta majibu.
Hii kesi bado tunayo hatua kwa mguu hadi kieleweke 😅 #NomaSeries (Feed generated with FetchRSS)
Makamu wa rais wa zamani Rigathi Gachagua alizua utata kwa kucheza noti ya sauti kutoka kwa Oscar Sudi, akionyesha mvutano ndani ya uongozi wa Rais Ruto.
Dada ameamua kusimama kama kiongozi kwa Zeliha (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Jamii imeendelea kushauriwa na wataalamu pamoja na taasisi mbalimbali kutoficha watoto wanaozaliwa na matatizo ya utindio wa ubongo kama vile cerebral palsy (CP), ili waweze kupata haki na huduma…
Unaumwa af unakutana na deni la mwenye nyumba #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Mike hataki kabisa kuyaacha maisha ya Wendy...Kazi ipo #NomaSeries (Feed generated with FetchRSS)
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 20, 2026- SERIKALI YATAHADHARISHA VUMBI LINALOSABABISHA SILIKOSISI (Feed generated with FetchRSS)
Edwin Sifuna na Babu Owino walimwokoa mshukiwa wa uhuni wakati wa mkutano wao Kakamega uliokumbwa na vurugu. Kundi lao la ODM likiapa kumng'oa Ruto madarakani 2027.
Wakazi wa Githurai 45 wameshtuka baada ya mwanamke kupatikana amekufa chumbani kwake siku mbili baada ya kuonekana akiwa hai, na kuzua wasiwasi kuhusu usalama.
#SerieA Como moto chini…!!! FT: Juventus 0-2 Como Inafuata Lecce vs Inter saa 2:00 usiku LIVE #AzamSports3HD #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #JuveComo (Feed generated with FetchRSS)