Kenya: MSF yaanzisha kituo cha kutoa mafunzo ya kukabiliana na Ebola
Shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka MSF, wameanzisha kituo cha kutoa mafunzo ya kukabialiana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Kenya, wakati huu maambukizi zaidi yakiripotiwa nchini DRC. Imechapishwa:…