🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, FEBRUARI 16, 2026 -WADAU WAAHIDI KUKARABATI MIUNDOMBINU YA SHULE
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, FEBRUARI 16, 2026 -WADAU WAAHIDI KUKARABATI MIUNDOMBINU YA SHULE
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, FEBRUARI 16, 2026 -WADAU WAAHIDI KUKARABATI MIUNDOMBINU YA SHULE
#HABARI: Mashahidi wa kificho wawili wa upande wa Jamhuri ambao wamejitambulisha kama wafuasi wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA), wametoa ushahidi wao katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo…
#HABARI: Waganga wa jadi katika Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wameeleza kusononeshwa na kitendo cha kutotambulika rasmi kwenye matukio mbalimbali ya kitaifa, licha ya mchango wao mkubwa katika jamii. Mwenyekiti…
Jirani… hivi moyo upo upande gani katika mwili wa binadamu? ❤️ A. Kulia B. Kushoto C. Katikati Tuandikie jibu lako kwenye maoni 👇 #AzamTVUpdates ✍John Mbalamwezi (Feed generated with FetchRSS)
#KAMBIYAMICHEZO: Unaweza kutoa maoni yako katika Timu ya Tanzania kwenye michuano ya Kimataifa, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kwa ujumla timu ipi imefanikiwa TUSIKILIZE RADIO ONE:…
Kwa miongo kadhaa, kumekuwapo mjadala mpana miongoni mwa wanasayansi kuhusu chimbuko la mwanadamu. Baadhi wamekuwa wakitetea nadharia ya mageuzi wakieleza kuwa mwanadamu anatokana na mabadiliko ya viumbe kama sokwe, huku…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma kupitia Chama Cha Makini, Abdallah Ngonyani ameahidi kuwalipia mahari vijana wanaotaka kuoa pamoja na kumalizia mahari kwa vijana wa kike ambao…
Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu (TOSCI) imefanya ukaguzi katika maduka yanayouza mbegu katika Wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma, kwa lengo la kuhakikisha yanazingatia viwango na ubora uliowekwa na Serikali.…
🔴MEZAHURU: ..... FEBRUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, imemhukumu Evarist Justin Chamtepa (44) kifungo cha miaka 30 jela, na kulipa fidia ya Shilingi Milioni 5 baada ya kumbaka mtoto wake…
Leo kuanzia saa 8:30 mchana, chaneli ya CGTN itakuletea 2026 The CMG Festival Gala. CGTN ni chaneli namba 238 kwenye kisimbuzi chako cha AzamTV. #CMGFestivalGala #CGTN #AzamTV (Feed generated with…
#MEZAHURU: Kitu gani kifanyike kuboresha MASOMO KWA LUGHA YA ALAMA kwa watu wenye ulemavu ndani ya Tanzania.?
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 16/02/20226 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa taarifa ya ajali ya kusikitisha iliyotokea jana Februari 15, 2026, majira ya saa 11:30 jioni, ambayo imesababisha vifo vya watu watano katika…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeendelea kusikiliza Ushahidi katika kesi ya Uhaini ya Lissu, ambapo shahidi wa kwanza anaelindwa P2 (38) ambae ni fundi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
".....Mkurugenzi kuna ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Chongoleani, mmepokea fedha tangu tarehe 3 mwezi wa nne mwaka 2025 ni mwaka sasa hamjaanza ujenzi na fedha hizo zipo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu inaendelea leo Februari 16, 2026 na hivi ndivyo alivyowasili katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya…
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatatu Februari 16, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo ipo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Seneta wa Nairobi na Katibu Mkuu wa Chama cha ODM Edwin Sifuna, katika eneo la Kitengela, huku Gavana huyo akiwa miongoni…
#HABARI: Polisi nchini Nigeria wamesema wamewakamata washukiwa wanne wa utekaji nyara wa watoto tisa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu John, waliokuwa wakisali kanisani hapo, eneo la Serikali ya Mtaa ya…
#HABARI: Kiongozi wa Chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amesema kwamba Muungano wa Upinzani kwa pamoja utarejea katika ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja, kubaini hatua zilizo chukuliwa kwa…
🔴KUMEKUCHA:...FEBRUARI 16, 2026
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan akiitka mamlaka hayo kuongeza wigo wa utoaji huduma. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda akiwa…
🔴#MAGAZETI: MASOKO YALIYOGHARIMU MABILIONI YAKOSA WATEJA / HESABU ZIMEKATAA.....FEBRUARI 16, 2026
#KIPIMAJOTO: Wanaofanya udanganyifu ili kujipatia mbegu nyingi za ruzuku ili kuzifanyia biashara. Je, wanyang'anywe leseni kuwadhibiti?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 16, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 14 , 2026 MKANDARASI ALIYETELEKEZA MRADI WA MAJI ATAKIWA KUPATIKANA
#HABARI: Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Mtwara imepata mafanikio makubwa kupitia miradi saba ya mita za malipo ya kabla (pre-paid meters) inayohudumia vijiji 11. Mhandisi…
#HABARI: Taasisi ya Ukaguzi na Udhibiti wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imefanya operesheni ya kushtukiza mkoani Singida na kubaini baadhi ya wamiliki wa maduka ya pembejeo wakihujumu mfumo wa ruzuku kwa…
#HABARI: Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali imesababisha maafa makubwa katika kata za Isanga na Iganzo jijini Mbeya baada ya kubomoa na kuezua mapaa ya nyumba 34, yakiwemo makanisa mawili.…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO, FEBRUARI 15, 2026 -
#HABARI: Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika, umeteketeza nyumba ya familia moja katika eneo la Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo mama aliyekuwa akiishi ndani ya…
#HABARI: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, ameanza ziara ya siku tisa katika mikoa ya Tabora na Kigoma, ambapo amepokelewa katika wilaya ya Igunga. Katika…
🔴TAMASHALAMICHEZO: .....FEBRUARI 15, 2025
Jamii imetakiwa kuongeza uelewa na kubadili mtazamo kuhusu watu wenye ulemavu, kufuatia kuendelea kuwepo kwa vitendo vya unyanyapaa na ubaguzi vinavyotokana na elimu duni ya kuwajali na kuwaheshimu kama sehemu…
Madhehebu ya Dini ya Kiislamu yanayofanya kazi chini ya taasisi mbalimbali yameaswa kuendelea kuishi kwa kuzingatia misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, sambamba na kudumisha umoja na mshikamano ili kulinda…
#HABARI: Kupitia mitandao ya kijamii kulisambazwa picha mjongeo akionekana mtoto mdogo wa kiume na zikisikika sauti zikimhamasisha kuvuta sigara, Jeshi la Polisi limesema, kitendo hicho ni kinyume cha sheria, kanuni…
Jamii, hususan wazazi, imehimizwa kuwa na utaratibu wa kuwachunguza watoto wao mara kwa mara ili kubaini mapema viashiria vya saratani, ugonjwa ambao si wa watu wazima pekee bali huweza hata…
🔴KUMEKUCHA:UFUNGUZI SOKO LA KARIAKOO....FEBRUARI 15, 2026
🔴#MAGAZETI: #MAGAZETI: VIJANA WANAVYOLIZWA NA AJIRA ZA MITANDAONI / HAKUNA NAMNA..FEBRUARI 15, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 15, 2026
#KIPIMAJOTO: Kushirikisha wananchi wanaopakana na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwenye ujenzi wa miundombinu yake na vikundi vya ulinzi shirikishi. Je, kutauhakikishia usalama mradi huo?
Bihari ya Dawa (MSD), imeshinda tuzo ya Huduma kwa Wateja katika sekta ya Dawa na Vifaa Tiba inayotolewa na taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na kutoa mafunzo, vyeti na viwango vya…