Wakati wengi wakiwakwepa ndege wa porini, Rodgers Oloo Magutha wa nchini Kenya ameigeuza hofu hiyo kuwa dhamira ya kuokoa maisha…
Wakati wengi wakiwakwepa ndege wa porini, Rodgers Oloo Magutha wa nchini Kenya ameigeuza hofu hiyo kuwa dhamira ya kuokoa maisha ya ndege waliotelekezwa na kujeruhiwa. Kutoka maisha ya mtaani hadi…