Ohoo mambo yanazidi kuwa magumu kwa Maryam…Uongo wake wenye faida utafika wapi?
Ohoo mambo yanazidi kuwa magumu kwa Maryam...Uongo wake wenye faida utafika wapi? 👀
Imekamilika kwa asilimia ngapi?
Imekamilika kwa asilimia ngapi? #SentroYaCloudstv #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
Mmmh ujio wa Bisura, umezua tukio nyumbani kwa Mzee Maega…Dereva wake azimishwa…Lakini hawajajulikana waliofanya hivyo…Je,…
Mmmh ujio wa Bisura, umezua tukio nyumbani kwa Mzee Maega...Dereva wake azimishwa...Lakini hawajajulikana waliofanya hivyo...Je, ni kundi la Maige? Hapana yuko jela...Au ni yeye mwenyewe Bisura na maadui zake? Tuendelee…
Ameandika Msanii #Nikki_Mbishi kwenye Insta Story Yake
Ameandika Msanii #Nikki_Mbishi kwenye Insta Story Yake.. . "Uhuru umerudi, Umeme umerudi bado maji tu. Uhuru bila kuoga na hili joto ni Utumwa" Nikki ameandika hayo kupitia kwenye mtandao wake…
Tunaendelea na sehemu ya pili ya THE PRICE leo kuanzai saa 3:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Tunaendelea na sehemu ya pili ya THE PRICE leo kuanzai saa 3:00 usiku ndani ya #AzamTWO Sarah amepata kazi. Bosi wake ni pasua kichwa mambo bado hayajamnyookea.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameungana na viongozi wengine wa serikali kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama,…
Huu mwaka mchungu
Huu mwaka mchungu Maneno ya mwanasheria wa kimataifa "Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni iko sahihi katika kusema kwamba kwa bahati mbaya, uwekezaji wa Marekani nchini Tanzania hauwezekani tena…
Ukumbusho mtakatifu umezua balaa baina ya makundi tofauti
Ukumbusho mtakatifu umezua balaa baina ya makundi tofauti. Tekfur Lukas hakubaliani na suala la Alaeddin kukamatwa na Tekfur Andre. Kalesi Bey anaendelea kutanua mbawa zake. Usikose leo OTTOMAN kuanzia saa…
Mwandishi wa habari bado ni pasua kichwa kwa Maryam…Je, ataandika hiyo stori?
Mwandishi wa habari bado ni pasua kichwa kwa Maryam...Je, ataandika hiyo stori? Usikose kutazama Ummy leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Yusuf anajaribu kumuhadaa bibi yake ili achukue ile bangili ya kina Jemo
Yusuf anajaribu kumuhadaa bibi yake ili achukue ile bangili ya kina Jemo. Yavut anapokea maneno ya kejeli ya mama yake kuhusu kutohakikisha Aziza yuko mikononi mwake. Usikose kutazama 06 OF…
The Old Man
The Old Man Series mpya ndani ya AzamONE inaanza leo saa 4:00 usiku. Series hii itaruka Jumatatu - Ijumaa. #TheOldMan #AzamONE
Hali ya huzuni imetanda nyumbani kwa marehemu Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, huku ndugu, jamaa na marafiki pamoja na viong…
Hali ya huzuni imetanda nyumbani kwa marehemu Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, huku ndugu, jamaa na marafiki pamoja na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakiendelea kuwasili wakitoa pole kwa…
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, Seneta Jim Risch, amekoso vikali serikali ya Tanzania kwa kufunga nc…
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, Seneta Jim Risch, amekoso vikali serikali ya Tanzania kwa kufunga nchi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru tarehe…
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja kati ya wahariri wa picha jongefu waliofanya kazi nyingi zilizoruka ndani ya #Sin…
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja kati ya wahariri wa picha jongefu waliofanya kazi nyingi zilizoruka ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV Anaitwa…
“Huyu Binti wa kizazi cha Genz ana taarifa nyingi kiasi kwamba wakati mwingine hajui ni taarifa ipi sahihi na ipi siyo sahihi”- …
"Huyu Binti wa kizazi cha Genz ana taarifa nyingi kiasi kwamba wakati mwingine hajui ni taarifa ipi sahihi na ipi siyo sahihi"- @Aunty_Kauthar Mwandishi wa Vitabu na Mkufunzi wa Malezi.…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amesema kifo cha Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, ni pigo kubwa kwa mkoa wa Dodo…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amesema kifo cha Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, ni pigo kubwa kwa mkoa wa Dodoma na taifa kwa ujumla, akieleza kuwa marehemu alitoa…
Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wameanza kufika nyumbani kwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, eneo la Itega jijini …
Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wameanza kufika nyumbani kwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, eneo la Itega jijini Dodoma, kutoa salamu za pole kufuatia kifo chake kilichotokea ghafla asubuhi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. DK. Samia Suluhu Hassan, ameonyesha kusikitishwa na kifo cha mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Mhagama kilichotangazwa leo 11.12.2025 na spika…
ALAMA za Sultani Tamba tutazitazama leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
ALAMA za Sultani Tamba tutazitazama leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD @sophiamgaz anasema huyu ni mbunifu asiyechoka, mwandishi aliyefungua njia kwa vizazi vipya. Jiwe la msingi la #BongoMovies.…
“Nimekuwa kwenye mazingira ambayo sina mtu wa kumwambia kwamba nina shida fulani
"Nimekuwa kwenye mazingira ambayo sina mtu wa kumwambia kwamba nina shida fulani. Kwahiyo hatua ngumu nilizokuwa napiga Mimi binafsi nilikuwa naziona kwa watu wengine"-@Aunty_Kauthar Mwandishi wa Vitabu na Mkufunzi wa…
#PichaYanguSeries | Huyu ndio dishi mwenyewe ambaye @divah_queen_of_eyes alikuwa akimsema
#PichaYanguSeries | Huyu ndio dishi mwenyewe ambaye @divah_queen_of_eyes alikuwa akimsema. Anaitwa Shakei @amani_kigoye 😆 #PichaYangu @cox_toto
Alaeddin amekamatwa, nyumbani wanadhani atakuwa ameuawa 🥹
Alaeddin amekamatwa, nyumbani wanadhani atakuwa ameuawa 🥹
Chaichaka ni mtoto fulani hivi mwenye drama nyingi…ameenda kuwanywea hasa Bisura ili ampe vijembe vyake
Chaichaka ni mtoto fulani hivi mwenye drama nyingi...ameenda kuwanywea hasa Bisura ili ampe vijembe vyake. Kumbuka Bisura ni kama amemkuza Chaichaka pasina kujua ni mama yake mzazi, alikuwa akimtembelea na…
Aliyekuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Peramiho Mhe
Aliyekuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Joakim Mhagama amefariki Dunia leo leo tarehe 11 Desemba, 2025 Jijini Dodoma. Taarifa…
Mijadala inayoshika kasi Mitandaoni “Yuko wapi Rais wa Tanzania”
Mijadala inayoshika kasi Mitandaoni “Yuko wapi Rais wa Tanzania” 📸: Getty
“Nina amini kwamba malezi ndio sehemu pekee inayotoa Binti mwema au Binti mbaya
"Nina amini kwamba malezi ndio sehemu pekee inayotoa Binti mwema au Binti mbaya. Na pia Teknolojia na wazazi wengi tumetaka watoto wetu walelewe kwenye vishkwambi tofauti na zamani ambapo mzazi…
“Huwa nasema jambo la kipuuzi hata kama watu mia Moja watalishangilia litaendelea kuwa la kipuuzi
"Huwa nasema jambo la kipuuzi hata kama watu mia Moja watalishangilia litaendelea kuwa la kipuuzi. Nafikiri vijana wengi hawapendi kufanya kazi tunataka maisha rahisi lakini kiuhalisia Hawa ambao tunawaita ma-sponsors,…
Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #Az…
Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
MWANAHARAKATI WA TANZANIA MANGE KIMAMBI AITAKA JAMII YA KIMATAIFA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA SERIKALI
MWANAHARAKATI WA TANZANIA MANGE KIMAMBI AITAKA JAMII YA KIMATAIFA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA SERIKALI Mwanaharakati wa Tanzania Mange Kimambi ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya…
“Nafikiri vijana wengi hawapendi kufanya kazi tunataka maisha rahisi lakini kiuhalisia hawa ambao tunawaita ma-sponsors, mashang…
"Nafikiri vijana wengi hawapendi kufanya kazi tunataka maisha rahisi lakini kiuhalisia hawa ambao tunawaita ma-sponsors, mashangazi wenyewe wanataka starehe sio kwamba anakuhitaji kwa ajili ya kutengeneza future na wewe. Anataka…
MASTER CHEF ITAANZA JANUARI PILI, 2026
MASTER CHEF ITAANZA JANUARI PILI, 2026 Majaji wakuu wa shindano la upishi Australia wana kazi ya kuwapima, kuwachuja na wapishi bora wa nyumbani wenye shauku ya kuwa washindi kupitia shindano…
Eeem tukutane saa 1:00 usiku leo pale #AzamONE maana JUANA inazidi kupata moto
Eeem tukutane saa 1:00 usiku leo pale #AzamONE maana JUANA inazidi kupata moto. 😊
Usikose muendelezo wa 06 OF US leo saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO, shida bado zimewatawala familia ya Rifat wakihangaika huku …
Usikose muendelezo wa 06 OF US leo saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO, shida bado zimewatawala familia ya Rifat wakihangaika huku na kule 🥹
#AzamONE Unlocked 🔓 – KUFULI LIMEFUNGULIWA
#AzamONE Unlocked 🔓 – KUFULI LIMEFUNGULIWA Karibu kwenye ulimwengu mpya wa filamu, tamthilia na vipindi halisi vya burudani muda wote ukiwa kokote ulimwenguni. AzamONE inazidi kukua na kuwa imara zaidi.…
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewapongeza wananchi kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu na kuidhihirishia d…
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewapongeza wananchi kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu na kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni nchi ya amani.
Dereva wa Bisura kajinyonga au kamalizwa na watesi wake?
Dereva wa Bisura kajinyonga au kamalizwa na watesi wake? Baba Mussa anamtaka mwanaye hataki jambo jingine zaidi. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106…
STAN BAKORA UKIRUDI UJE UMALIZIE MKATABA WAKO WA BODABODA..?😀😏
STAN BAKORA UKIRUDI UJE UMALIZIE MKATABA WAKO WA BODABODA..?😀😏 @stanbakora_ NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification…
ANAULIZA MWANDAMBO
ANAULIZA MWANDAMBO... NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari zinapopostiwa ::: #standupcomedy #tanzaniatalent #talent #wcb4life…
WEMA SEPETU AZIDI KUWACHAMBA GEN Z HUKO SNAPCHAT
WEMA SEPETU AZIDI KUWACHAMBA GEN Z HUKO SNAPCHAT.. NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari…
“Hatua tunazozichukua zinaonwa na wale ambao tunakanyaga mikia yao”
"Hatua tunazozichukua zinaonwa na wale ambao tunakanyaga mikia yao"
BAADHI YA WASANII WATAJWA KUIKIMBIA BONGO
BAADHI YA WASANII WATAJWA KUIKIMBIA BONGO... NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari zinapopostiwa :::…
Zein ni kijana wa hovyo…(ijapokuwa hatujui itakuwa hivyo siku zote au la), Karam amekuja naye anaonesha tabasamu la upendo lak…
Zein ni kijana wa hovyo...(ijapokuwa hatujui itakuwa hivyo siku zote au la), Karam amekuja naye anaonesha tabasamu la upendo lakini hatujui kama ndio ngozi yake halisi. Tumeianza safari ya THE…
“Kwahiyo mahitaji ndio yanachochea bidhaa fulani kutafutwa kwa kiwango kikubwa sana”- Erald Mporoto, Mchambuzi wa masualaya kija…
"Kwahiyo mahitaji ndio yanachochea bidhaa fulani kutafutwa kwa kiwango kikubwa sana"- Erald Mporoto, Mchambuzi wa masualaya kijamii, siasa za kimataifa na balozi wa kiswahili nchini Tanzania. #SentroYaCloudstv #LainiYaWana