Mwanamitandao maarufu Suzy Bale amepatwa na msiba mkubwa baada ya kufiwa na mtoto wake wa kwanza, Mwanaisha Saimon Emly, taarifa…
Mwanamitandao maarufu Suzy Bale amepatwa na msiba mkubwa baada ya kufiwa na mtoto wake wa kwanza, Mwanaisha Saimon Emly, taarifa ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu na familia. Kwa mujibu…
Ujumbe wa Nape Nnauye – Mbunge wa Jimbo la Mtama kwa vijana wanataka nini Tanzania amewataka Vijana kutojaribu kuitoa serikali m…
Ujumbe wa Nape Nnauye - Mbunge wa Jimbo la Mtama kwa vijana wanataka nini Tanzania amewataka Vijana kutojaribu kuitoa serikali madarakani kwani kufanya au kujaribu kufanya hivyo ni kosa kubwa…
Anaandika Askofu Bagonza
Anaandika Askofu Bagonza TUMEISHAANDAMANA; GEN-Z TUPE NAFASI TUJUTE KWANZA. Leo tarehe 6 Desemba, ni siku yangu ya kuzaliwa. Sina furaha kama ninavyokuwaga na furaha katika siku hii. Hii ni kwa…
The Avengers
The Avengers Ndio mzigo wa leo saa 4:00 usiku katika movie ya wikiendi kupitia AzamTWO. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #TheAvengers #AzamTWO
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imeitaka serikali ya Tanzania kuondoa marufuku ya maandamano kabla ya Siku…
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imeitaka serikali ya Tanzania kuondoa marufuku ya maandamano kabla ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2025, ili kuruhusu uhuru…
Kobisi na Shida wake sijui kama watayaweka sawa kwenye hii shughuli yao
Kobisi na Shida wake sijui kama watayaweka sawa kwenye hii shughuli yao...
“Sikukamatwa, NILITEKWA
"Sikukamatwa, NILITEKWA. Hukamatwi kwa kuwekewa bastola kichwani na kufungwa vitambaa viwili machoni kwa zaidi ya masaa 6. Hukamatwi na kufungwa kwenye mti na kupigwa kama mwizi. Mioyo yetu inavuja damu,…
AzamONE Weekend Movie
AzamONE Weekend Movie Katika movie ya wikiendi kupitia AzamONE leo saa 2:00 usiku ni movie ya TITANIC #Titanic #AzamONE
Photos from Clouds TV’s post
Happy birthday ndugu zetu @wacloudsania (@Ukhtymwana na @Official_kingzimira) Clouds MEDIA Group inawatakia mwaka mwingine wa mafanikio na baraka. #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Photos from AzamTV Burudani’s post
VISHINDO VYA @nomaseries | Kama uliwaona jana kwenye kipindi maalum cha kuikaribisha tamthilia ya #PichaYangu, mwandaaji wa #NomaSeries @adamoo14 na mwingizaji wa tamthilia hiyo @alexander_malick walivaa T-Shirt βspeshoβ zenye ujumbe…
Chiku anapewa ‘breaking news’ Mwamini hayuko mbali kuziandika habari π
Chiku anapewa 'breaking news' Mwamini hayuko mbali kuziandika habari π
Bila Suzy kuwepo hapo, Sijui wangemuokotea wapi leo Chioma
Bila Suzy kuwepo hapo, Sijui wangemuokotea wapi leo Chioma
Usikose sehemu ya kwanza ya tamthilia ya 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee
Usikose sehemu ya kwanza ya tamthilia ya 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee.
Maryam ana kwa ana na ndugu zake na wanamuona mtoto ambaye hawajui ni nani
Maryam ana kwa ana na ndugu zake na wanamuona mtoto ambaye hawajui ni nani. Mama Basma na mumewe kichaa bado wanamtafuta mtoto...Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku #AzamTWO
Siku ya shughuli muoaji haonekani, Mashavu ni kilio tu wakati Siwa wagewage ukipanda zaidi…Au ni Binti Msumi huyu…Usikose ku…
Siku ya shughuli muoaji haonekani, Mashavu ni kilio tu wakati Siwa wagewage ukipanda zaidi...Au ni Binti Msumi huyu...Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
“Kwa Tanzania ambao wanaandaa AFCON tena kwa Mataifa Matatu, sehemu Moja nzuri ya kujifunza ni katika kombe la Dunia linalofanyi…
"Kwa Tanzania ambao wanaandaa AFCON tena kwa Mataifa Matatu, sehemu Moja nzuri ya kujifunza ni katika kombe la Dunia linalofanyika katika Mataifa Mexico, Canada na Marekani"- @scanda24, Mchambuzi wa Michezo.…
“Kombe la Dunia linashirikisha Mataifa matatu, linashirikisha timu 48 lakini linafanyika katika Mataifa ya Mexico, Canada na Mar…
"Kombe la Dunia linashirikisha Mataifa matatu, linashirikisha timu 48 lakini linafanyika katika Mataifa ya Mexico, Canada na Marekani"- @scanda24, Mchambuzi wa Michezo. #sentroCloudstv #LainiYaWana #Clouds26Nyoosha
“Kazi yetu ni ile ile moja tunatangaza injili ya Mungu aliye juu”- @kibambetz, Mwanamuziki wa nyimbo za Injili
"Kazi yetu ni ile ile moja tunatangaza injili ya Mungu aliye juu"- @kibambetz, Mwanamuziki wa nyimbo za Injili
Baraka zote hapa Kitivoni Jioni ya Leo zimetoka kwa @kibambetz, Mwanamuziki wa nyimbo za Injili
Baraka zote hapa Kitivoni Jioni ya Leo zimetoka kwa @kibambetz, Mwanamuziki wa nyimbo za Injili. Kupitia muziki wake wa Injili tumebarikiwa! #LainiYaWana #sentroCloudstv #Clouds26Nyoosha
Kwako ni sawa best Friend wako kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na ndugu yako?
Kwako ni sawa best Friend wako kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na ndugu yako? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp π 065 229 1057…
#SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
#SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
Sehem ni moja tu JEMA Auto
Sehem ni moja tu JEMA Auto. Karibu tuingie Mnadani pamoja, ujipatie gari kwa bei kitonga Mnada si lazima kusafiri kwenda Japani, tunamalizana hapa hapa bongo Tupigie sasa 0710 011 241…
Kwenye Usiku wa Makachero wa Michongo Vibes na mabao atakuwepo Mtumishi @kibambetz akiisindikiza Weekend kwa vibe la ngoma za ki…
Kwenye Usiku wa Makachero wa Michongo Vibes na mabao atakuwepo Mtumishi @kibambetz akiisindikiza Weekend kwa vibe la ngoma za kiroho. Fanya kuikumbatia @CloudsTv kuanzia 1:30 Usiku wakati ambapo mtumishi wa…
Tuambie faida ya Juice ya Miwa…..!
Tuambie faida ya Juice ya Miwa.....!. Laini ya Wana ina kazi moja tu ya kukufungulia dunia wewe Mcloudsania ambae umekuwa Msikilizaji, Mtazamaji na Mfuatiliaji wa kurasa zetu za mitandao ya…
Jackline Simon -Muazilishi Wa Taasisi Ya Save The Dream akielezea mpango wa taasisi hiyo wa kuanzisha shule ili kuwasaidia watot…
Jackline Simon -Muazilishi Wa Taasisi Ya Save The Dream akielezea mpango wa taasisi hiyo wa kuanzisha shule ili kuwasaidia watoto wenye changamoto ya kielimu. @save_the_dreamtz #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana #Clouds360
Jackline Simon -Muazilishi Wa Taasisi Ya Save The Dream akielezea sababu ya kuanzisha taasisi hiyo inayowawezesha jamii kiafya, …
Jackline Simon -Muazilishi Wa Taasisi Ya Save The Dream akielezea sababu ya kuanzisha taasisi hiyo inayowawezesha jamii kiafya, kielimu na kiuchumi. @save_the_dreamtz #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana #Clouds360
#Happybirthday | @jiddymusisy
#Happybirthday | @jiddymusisy #Cloudsmediagroup tunakutakia baraka na mafanikio zaidi katika maisha yako. #Clouds26Nyoosha