Kwenye Usiku wa Makachero wa Michongo Vibes na mabao atakuwepo Mtumishi @kibambetz akiisindikiza Weekend kwa vibe la ngoma za kiroho.
Fanya kuikumbatia @CloudsTv kuanzia 1:30 Usiku wakati ambapo mtumishi wa Mungu atanyoosha verse za injili takatifu.
#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyoosha