09.12.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waasi wa M23 waukaribia mji wa Uvira huku wanajeshi wa Kongo wakikimbilia Burundi. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akutana na washirika wake wa Ulaya mjini London. Tanzania yapiga marufuku maandamano…
Waasi wa M23 waukaribia mji wa Uvira huku wanajeshi wa Kongo wakikimbilia Burundi. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akutana na washirika wake wa Ulaya mjini London. Tanzania yapiga marufuku maandamano…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Umoja wa Mataifa unasema watu 200,000 wamekimbia makwao mashariki mwa Congo katika siku za hivi karibuni, wakati waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda…
Ripoti ya HRW imesema ukandamizaji kabla ya maandamano ya Jumanne Dec, 9 nchini Tanzania, kutokuheshimu haki ya watu kufanya maandamano ya Amani ni makosa yanayofanywa na utawala wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, FĂ©lix Tshisekedi amelihutubia taifa mbele ya mabunge mawili yaliyokutana kwa pamoja kwenye kongamano maalum. Tshisekedi amerejea tena kauli yake kuwa Rwanda inawaunga mkono…
Uganda inajiandaa kushiriki uchaguzi mkuu siku 36 kutoka sasa. Hata hivyo matukio ya wapinzani kuandamwa yanazidi kutia wasiwasi huku Jumuiya ya kimataifa ikishutumiwa kushindwa kuikosoa serikali kwa mateso ya upinzani.
Sudan inaingia katika hatua hatari zaidi ya vita vyake vya mwaka mmoja na nusu, huku Mkoa wa Kordofan ukigeuka uwanja mkuu wa mapambano kati ya jeshi na wanamgambo wa RSF.
Umoja wa Mataifa umekosoa na kulaani jinsi ulimwengu unavyoonesha kutokujali mateso yaliyoenea. Tamko hilo limetolewa wakati Umoja wa Mataifa ulipowasilisha ombi la kutolewa misaada ya kibinadamu kwa mwaka 2026.
Katika maadhimisho ya kuanguka kwa dikteta wa Syria, nchi iko katika hatua nyeti. Kumekuwa na mafanikio muhimu katika maeneo kama sera za nje, lakini wakati huo huo, raia wengi wa…
Rais wa Kongo Felix Tshisekedi ameishutumu Rwanda kwa kukiuka wajibu wake chini ya makubaliano ya amani yaliyosimamiwa na Marekani.
Daktari mmoja nchini Tanzania amekiri kwamba mamia ya wagonjwa na maiti walichukuliwa kutoka hospitali na kupelekwa kwenye maeneo yasiyojulikana, matamshi yaliyochochea miito zaidi ya maandamano siku ya Jumanne.
Thailand imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya jirani yake Cambodia, huku pande hizo mbili zikilaumiana kwa mapigano mapya kwenye mpaka unaozozaniwa. Raia wanne wa Cambodia na mwanajeshi mmoja wa Thailand…
Kundi la waasi kusini mwa Yemen limekamata eneo kubwa la serikali inayotambuliwa kimataifa, ikiwa ni pamoja na baadhi ya visima vya mafuta na kuibua kitisho kipya cha machafuko, miaka kadhaa…
Baada ya kuanguka kwa Bashar Assad, Syria inapambana kujenga upya nchi iliyoharibiwa na vita, ukiukaji wa haki za binadamu na mgawanyiko wa kisiasa. Hadithi ya Marwan, aliyeteseka jela, inaakisi safari…
Mafunzo ya lugha ya Kijerumani yanaendelea kushika kasi magharibi ya Kenya hususan eneo la Nyanza ambapo vyuo vikuu na taasisi za elimu zimekuwa zikiimarisha mafunzo ya lugha hii.
Serikali ya Indonesia imesema maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko yaliyosababisha vifo vya mamia ya watu nchini Indonesia, yanakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula na dawa.
Rais Paul Kagame wa Rwanda na Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidomkrasi ya Kongo walisaini mkataba wa amani uliosimamiwa na Rais Donald Trump siku chache zilizopita mjini Washington. Ila Kongo…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, watu zaidi ya thelathini wamepoteza maisha katika mlipuko wa mabomu katika kijiji cha Sange ndani ya wilaya ya Uvira jimboni Kivu Kusini.
Mshambuliaji kinda wa RB Leipzig Yan Diomande amekuwa gumzo kubwa katika ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga baada ya kufunga "hattrick" katika ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Eintracht…
Mwaka mmoja tangu kuondolewa madarakani kwa Bashar al-Assad, Syria bado inasalia katika hali tete ya mchanganyiko wa matumaini na mashaka, huku taifa hilo likijaribu kusimama upya baada ya vita vya…
Real Madrid walipoteza dhidi ya Celta Vigo wakimaliza mchezo wakiwa na wachezaji tisa kufuatia kadi nyekundu mbili zilizotolewa kipindi cha pili, hali inayoongeza shinikizo kwa kocha Xabi Alonso.
Uamuzi wa kumweka Salah benchi umeibua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki na wachambuzi. Nyota huyo wa Misri alionekana kutoridhishwa na uamuzi wa kocha, hali ambayo imeibua tetesi kuhusu mustakabali wake…
Syria Jumatatu inaadhimisha mwaka mmoja tangu kuangushwa kwa mtawala wa kidikteta Bashar al Assad, wakati taifa hilo lililoganwanyika likapambana kurejesha utulivu na kujijenga upya baada ya vita vya muda mrefu.
Waziri Mkuu wa Uingereza Kier Starmer hii leo atamkaribisha Rais Volodymyr Zelensky mjini Londo kwa ajili ya kujadili mipango ya amani, wakati Urusi ikiendelea kuishambulia Ukraine.
Rais wa Benin Patrice Talon amesema hali nchini humo imedhibitiwa kikamilifu baada ya serikali kulizuia jaribio la mapinduzi, kupitia wanajeshi watiifu wa rais huyo wakishirikiana na vikosi vya Nigeria.
Rais wa Umoja wa Ulaya Antonio Costa amepinga jaribio lolote la Marekani la kuingilia siasa za Ulaya, baada ya Washington kuchapisha mkakati wa mpya wa usalama, unaokosoa vikali sera za…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amehimiza umuhimu wa biashara ya usawa na inayozingatia sheria, wakati akianza ziara ya siku mbili nchini China hii leo Jumatatu.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema awamu ya pili ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza itaendelea mara baada ya Hamas kukamilisha zoezi la kurejesha mabaki ya mateka wa…
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anatarajiwa leo kukutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini London kujadili kuhusu mpango wa amani kwa Ukraine.
Mapigano makali yameendelea kushuhudiwa huko Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wanakabiliana na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na wanajeshi…
Viongozi wa nchi tatu za Ulaya wanakutana Jumatatu mjini London na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ili kuujadili mpango wa amani uliopendekezwa na Marekani.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amewasili China Jumatatu kwa ziara yake ya kwanza nchini humo.
Serikali ya Nigeria imewezesha mpango wa kuachiliwa huru kwa wanafunzi 100 waliotekwa nyara na watu wenye silaha katika shule ya Kikatoliki mwezi uliopita.
Mamlaka ya Benin imetangaza Jumapili kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililolenga kumuondoa madarakani Rais Patrice Talon. Umoja wa Afrika umelaani jaribio hilo huku Jumuiya ya ECOWAS ikituma msaada wa…
Syria yaadhimisha mwaka mmoja tangu Assad kuondolewa madarakani+++Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anatarajiwa leo kukutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini London kujadili kuhusu mpango wa amani kwa…
Mamlaka ya Benin yatangaza kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi. Viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa kukutana Jumatatu na rais wa Ukraine mjini London. Mapigano makali yaendelea kushuhudiwa huko Uvira,…
Umoja wa Afrika umelaani vikali jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Benin na ukawataka wanajeshi kurejea katika kambi zao. Hii ni kulingana na taarifa iliyotoa leo.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema leo kwamba anatazamia kuingia katika awamu ya pili ya mpango wa kusitisha mapigano Gaza unaofadhiliwa na Marekani "hivi karibuni".
Jopo la wachunguzi wa Umoja wa Mataifa limesema leo kuwa kipindi cha mpito cha Syria bado ni tete, mwaka mmoja baada ya kupinduliwa kwa Bashar al-Assad, na kwamba hali ya…
Iran imesema leo kuwa zaidi ya raia wake 50 watarejea kutoka Marekani, katika wakati ambapo Rais Donald Trump anaendeleza msako dhidi ya wahamiaji.
Marekani yatia saini mkataba wa dola milioni 228 na Rwanda kwa ajili ya afya katika mfumo mpya wa "Afya Duniani." Marekani pia imetia saini mkataba kama huo na Kenya.
Urusi imepongeza mkakati mpya wa usalama wa kitaifa wa Marekani na kuutaja kuwa hatua chanya kwa mahusiano baina ya nchi hiyo mbili.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anatarajiwa kukutana leo na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Jerusalem katika ziara yake ya kwanza Israel tangu aingie madarakani mwezi Mei mwaka huu.
Shambulizi la droni la hivi karibuni katika mji wa Kalogi unaoshikiliwa na jeshi katika jimbo la Kordofan ,Kusini mwa Sudan lililenga shule ya chekechea na hospitali, na kusababisha vifo vya…
Takriban wanajeshi 20 wa Burundi wameuawa kwenye mapigano yanayoendelea mashariki mwa Kongo na miili yao kurejeshwa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura tangu mapigano hayo yalipozuka upya siku ya Jumatatu.
Marekani na Rwanda zimetia saini mkataba wa miaka mitano wa dola milioni 228 kwa sekta ya afya katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Haya ni kwa mujibu wa wizara ya…
Urusi imeupongeza mkakati mpya wa usalama wa kitaifa wa Marekani na kuutaja kuwa hatua chanya kwa mahusiano baina ya nchi hiyo mbili. Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anatarajiwa kukutana na…
Umoja wa Afrika umelaani vikali jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Benin na ukawataka wanajeshi kurejea katika kambi zao. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema anatazamia kuingia katika awamu…
Takribani watu 11, wakiwemo watoto watatu, wameuawa kwa kupigwa risasi leo kwenye baa moja katika kitongoji kimoja mjini Pretoria nchini Afrika Kusini.
usitishaji wa mapigano kwa muongozo wa awamu ya pili ya makubaliano ya amani kwa Ukanda wa Gaza.
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyopendekezwa kufanyika wiki ijayo, kufuatia msako mkali unaofanywa na vikosi vya usalama dhidi ya walioandamana wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba…