Wasomalia walaani matamshi ya Rais Trump
Wasomali wameonyesha hasira kali kufuatia matamshi ya kudhalilisha yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi yao na nchi yao, ingawa wachache wamesema kuwa pamoja na ukali wake, aligusia ukweli…
Wasomali wameonyesha hasira kali kufuatia matamshi ya kudhalilisha yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi yao na nchi yao, ingawa wachache wamesema kuwa pamoja na ukali wake, aligusia ukweli…
Israel imesema imefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa Hamas kwenye eneo la kusini mwa Gaza, katika kujibu shambulizi lililotokea mapema Jumatano na kuwajeruhi wanajeshi watano wa Israel.
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, anaanza ziara ya siku mbili nchini India 04.12.2025 atakapokutana na Waziri Mkuu Narendra Modi katika juhudi za kuimarisha ushirikiano hususan katika sekta ya ulinzi na…
Tumalizie michezoni ambapo Bayern Munich waliwazidi nguvu Union Berlin 3-2 mjini Berlin na kufuzu kwenye robo fainali ya mashindano ya kombe la Shirikisho la Ujerumani, DFB Pokal, usiku wa kuamkia…
Waziri Mkuu wa Lebanon amesema nchi yake bado "iko mbali" sana kusawazisha mahusiano ya kidiplomasia au kiuchumi na Israel.
Rais wa Marekani Donald Trump leo anawaleta pamoja viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, kwa kile atakachojipigia kifua kuwa ni hatua yake ya karibuni ya kusitisha vita.
Rais wa Marekani Donald Trump anaamini kuwa Rais Vladimir Putin wa Urusi anataka kuvimaliza vita nchini Ukraine, licha ya mazungumzo na ujumbe wa Marekani ambayo hayakupata mwafaka huko Moscow.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa China Xi Jinping Alhamis ambapo anatarajiwa kumuwekea shinikizo kiongozi huyo asaidie katika usitishwaji wa mapigano nchini Ukraine.
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, anaanza leo ziara ya siku mbili nchini India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano, hususan katika sekta ya ulinzi+++Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa likisema…
Rais wa Marekani Donald Trump ameiita Somalia kuwa ni "nchi ngumu". Katika kauli aliyoitoa Jumanne Trump aliwaelezea wahamiaji wa Kisomalia kama "takataka," akisema hawataki Marekani.
Ujerumani imechaguliwa kuwa mwenyeji wa Euro ya Wanawake 2029 baada ya kuzishinda Poland, na Denmark na Sweden. Mashindano hayo yameahidiwa kuwa “ya wote,” huku nchi hiyo ikipanga kuvutia mashabiki zaidi…
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania amefuta mashtaka ya uhaini na uchochezi dhidi ya mfanyabiashara Jennifer “Niffer” Jovin na mwanaharakati Mika Chavala, waliokamatwa kwenye vurugu za Oktoba 29, na kuwaachia huru.
Eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limekumbwa na vita kwa miongo kadhaa, hali iliyosababisha maelfu ya vifo na mamilioni ya watu kuyahama makazi yao. Sasa, hatua mpya…
Mamlaka za maeneo yanayokabiliwa na mafuriko katika kisiwa cha Sumatra zaomba msaada zaidi kutoka serikali kuu
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, amepewa mapokezi ya kifalme alipowasili Uingereza kwa ziara ya siku tatu, ya kusherehekea mahusiano ya karibu kati ya nchi hizo mbili lakini pia kukumbuka makovu…
Mashirika ya vijana ya vyama vikuu vya siasa nchini Ujerumani yanaonyesha kujiamini zaidi. Kwa sababu ya tofauti ndogo ya kura katika bunge la Bundestag, ushawishi wao unaweza kuongezeka.
Takriban watu laki moja wamelikimbia eneo la Kaskazini mwa Msumbiji ambako machafuko yameongezeka
Ziara ya rais Frank Walter Steinmeier ni ya kwanza kuwahi kufanywa na kiongozi mkuu wa nchi wa Ujerumani nchini Uingereza kwa kipindi cha miaka 27
Mkopo wa Euro bilioni 90 kwa miaka miwili unalenga kuipatia Ulaya sauti yenye nguvu katika mazungumzo ya kutafuta amani ya Ukraine
Urusi imesema hakuna muafaka kuhusu Ukraine baada ya mazungumzo ya saa tano kati ya Putin na wajumbe wa Trump Kremlin. Hatua hiyo imezua wasiwasi Ulaya na Kyiv, huku pande zote…
Raia wa Kherson wanaishi kwa hofu ya mashambulizi ya kila mara ya droni za Urusi, ambazo Umoja wa Mataifa unasema zinawalenga kimakusudi na kusababisha vifo, majeraha na uharibifu mkubwa wa…
Baada ya kukifunga kwa muda mrefu kivuko cha Rafah,Israel inadhamiria kukifungua kuruhusu Wapalestina kwenda Misri
Marekani imesitisha kushughulikia maombi yote ya uhamiaji, ikiwemo kadi za kijani na uraia, kwa raia wa mataifa 19 yanayoainishwa kama hatari kubwa. Hatua hii imechochewa na shambulio la hivi karibuni…
Israeli imesema matokeo ya uchunguzi wa mabaki yaliyorudishwa kutoka Gaza sio ya mateka wake waliouwawa na Hamas, huku pande zote mbili zikiendelea kutekeleza makubaliano dhaifu ya kusitisha vita katika Ukanda…
Zaidi ya muongo mmoja uliyopita, ndege ya Malaysia MH370 ilitoweka na kupotea kabisaa, na kuacha kitendawili kikubwa cha anga. Licha ya utafutaji mkubwa wa kimataifa, hatma ya ndege hiyo na…
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limevilaumu vikosi vya RSF Sudan vinavyopigana na jeshi la serikali kwa uhalifu wa kivita katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi…
Jana Jumanne, jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wametupiana lawama za kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano.
Vyombo vya habari vimeripoti tukio la kuuwawa kwa mwandishi wa habari kulikotokana na shambulizi la Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza,
Haiti iliyoathiriwa na magenge imepiga hatua kuelekea kufanya uchaguzi wake wa kwanza katika takriban muongo mmoja baada ya mamlaka kutangaza kwamba nchi hiyo ya Caribbean itafanya uchaguzi majira ya kiangazi…
Rais Emmanuel Macron anaelekea China kwa ziara ya siku tatu inayolenga biashara na mazungumzo ya kidiplomasia, huku rais wa Ufaransa akitaka kuishirikisha Beijing katika kushinikiza Urusi kusitisha mapigano na Ukraine.
Mjumbe Maalum Steve Witkoff anarejea Marekani kwa lengo la kumjulisha Rais Donald Trump kuhusu mazungumzo yake ya Jumanne na Rais wa Urusi Vladimir Putin mjini Moscow.
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wametupiana lawama za kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano jana Jumanne, ikiwa ni siku mbili kabla…
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limevilaumu vikosi vya RSF nchini Sudan vinavyopigana na jeshi la serikali+++Israeli imesema matokeo ya uchunguzi wa mabaki yaliyorudishwa huko kutoka…
Cologne imeteuliwa kuwa jiji kuu katika jitihada za eneo la Rhine-Ruhr kuwania kuandaa Michezo ya Olimpiki, ikiahidi michezo endelevu, yenye miundombinu tayari na uwezo wa kupokea watazamaji milioni kadhaa.
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeondoa marufuku ya FIS na kuruhusu wanariadha wa Urusi na Belarus kushiriki mashindano ya kufuzu kwa Olimpiki ya Majira ya Baridi ya 2026, wakitimiza…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa viongozi wa Mashariki ya Kati kusikiliza kilio cha amani cha wananchi wao na kuweka mbinu mpya za kukabiliana na…
Vikosi vya dharura nchini Indonesia, Sri Lanka na Thailand vinapambana kuwafikia manusura na kuiokoa miili zaidi leo.
Umoja wa mataifa umesema leo kuwa una wasiwasi mkubwa na idadi ya watu wanaokimbia machafuko kaskazini mwa Msumbiji.
Rais Samia Suluhu Hassan amefichua kuwa vurugu za uchaguzi nchini Tanzania ziliratibiwa na watu wa ndani na nje ya nchi kwa lengo la kuibomoa serikali, akizionya taasisi za dini, wanasiasa…
Matamshi makali ya mkuu wa polisi Uganda dhidi ya mgombea urais wa upinzani Bobi Wine yamechochea hofu mpya, yakionyesha ongezeko la mvutano wa kisiasa, matumizi ya nguvu na tuhuma za…
Wawakilishi wa Jumuiya ya ECOWAS wamekutana Jumatatu na utawala wa kijeshi wa Guinea Bissau uliochukua mamlaka nchini humo siku moja kabla ya matokeo ya awali ya uchaguzi wa kitaifa kutangazwa.
Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo mjini Washington ili kusaini makubaliano ya amani miezi kadhaa baada ya makubaliano ya awali…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa viongozi wa Mashariki ya Kati kusikiliza kilio cha amani cha wananchi wao na kuweka…
Zaidi ya watu 800 bado hawajulikani waliko baada ya mafuriko makubwa kusababisha mauaji ya zaidi ya watu 1000 wiki iliyopita nchini Indonesia, Sri Lanka na Thailand.
Mwenyekiti wa tume iliyoteuliwa na rais wa Tanzania, kuchunguza yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 nchini humo, Jaji Mstaafu Chande Othman amesema atajitahidi kutaka ushirikiano na wadau…
Mkurugenzi wa Michezo wa Mainz, Niko Bungert, ameacha gumzo la hatima ya kocha Bo Henriksen wazi baada ya timu hiyo kushuka hadi mkiani mwa msimamo wa Bundesliga.
Hali Sudan inaendelea kuwa mbaya. Katika kambi ya Al-Dabbah iliyopo umbali wa kilomita wa 770 kasikazini mashariki mwa mji wa Elfasher, wahudumu wa afya wanapata wakati mgumu kuwahudumia waathirika wa…
Mwaka mmoja baada ya kufikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah, bado jeshi la Israel linaendelea kuyashikilia maeneo matano kusini mwa Lebanon.
Shirika la Afya Duniani, WHO linatoa wito kwa serikali na washirika kutanua upatikanaji wa tiba mpya zilizoidhinishwa ikiwa ni pamoja na tiba mpya ya kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV…
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa onyo leo akisema kuwa anga inayozunguka Venezuela inapaswa kuzingatiwa kuwa imefungwa.