Ujumbe wa Ukraine waelekea Washington kwa mazungumzo
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema leo kwamba ujumbe unaoongozwa na katibu wa baraza la usalama Rustem Umerov ulikuwa njiani kuelekea Marekani kuendelea na mazungumzo kuhusu makubaliano ya kukomesha vita…