Kyiv yashambuliwa kwa droni na makombora ya Urusi
Jeshi la Urusi limefanya mashambulizi makubwa mapema leo kwa kutumia droni na makombora yaliyoulenga mji mkuu wa Ukraine, Kyiv.
Jeshi la Urusi limefanya mashambulizi makubwa mapema leo kwa kutumia droni na makombora yaliyoulenga mji mkuu wa Ukraine, Kyiv.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa leo kulihutubia bunge, ikiwa ni ishara ya kulizindua rasmi baada ya kukamilika kwa uteuzi wa viongozi wake wakuu, wakiwemo Waziri Mkuu, Spika wa…
Serikali ya China imesema leo kuwa imemuita balozi wa Japan katika ofisi yao ya wizara ya mambo ya nje ili kutoa ufafanuzi kufuatia matamshi ya Waziri Mkuu mpya wa Japan…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali tukio la kuchomwa moto kwa msikiti wa Hajja Hamida katika Ukingo wa Magharibi akieleza kuwa mashambulizi dhidi ya maeneo ya…
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ametangaza kuanzishwa uchunguzi wa mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi uliomrudisha madarakani. Lakini pia katika hotuba yake aliyoitowa akilizinduwa bunge la 13 hivi…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo anatarajia kulihutubia bunge la nchi hiyo kama ishara ya kulizindua baada ya kukamilika kwa uteuzi wa Waziri Mkuu+++Uhuru wa matumizi ya mtandao wa…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kulihutubia Bunge la nchi hiyo kama ishara ya kulizindua baada ya kukamilika kwa uteuzi wa Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na naibu wake.
Utafiti mpya unaonyesha kuwa raia wa Ujerumani wamegawanyika kuhusu iwapo vyama vingine vya siasa vinapaswa kushirikiana na chama cha mrengo mkali wa kulia cha AfD, ambacho kwa sasa ndicho chama…
Utafiti mpya unaonyesha kuwa raia wa Ujerumani wamegawanyika kuhusu iwapo vyama vingine vya siasa vinapaswa kushirikiana na chama cha mrengo mkali wa kulia cha AfD, ambacho kwa sasa ndicho chama…
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, (KKKT) limetangaza wiki moja ya maombi ya kitaifa kutokana na ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, huku likifafanua zaidi kuhusu yatakayozingatiwa wakati wa kuhitimisha…
Tawi la kijeshi la Hamas limesema litaurejesha mwili wa mateka mwengine hii leo kama sehemu ya mpango wa usitishwaji mapigano Gaza uliosimamiwa na Marekani.
Wanamgambo wa RSF nchini Sudan, wameushambulia kwa makombora mji wa Merowe ulioko kaskazini mwa taifa hilo, wakilenga bwawa kubwa katika eneo hilo linalodhibitiwa na jeshi.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, amewambia Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kwamba anatarajia Ukraine kuweka juhudi zaidi kupambana na ufisadi, baada ya sakata kubwa la ufisadi kuitikisa Kyiv.
Mjumbe maalumu wa Marekani kwa ajili ya Syria Tom Barrack, amesema Syria itakuwa na jukumu muhimu katika kuisaidia nchi yake kupambana na makundi yaliyo na silaha.
Rais wa Israel Isaac Herzog, amepokea barua kutoka kwa Rais wa Marekani Donald Trump, ikimuhimiza kufikiria kutoa msamaha kwa Waziri Mkuu wa taifa hilo Benjamin Netanyahu.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema bado kuna "machungu" wakati taifa hilo linapoadhimisha kumbukumbu ya miaka 10 tangu yalipotokea mashambulizi mabaya.
Walowezi wa Israel walio na misimamo mikali wamevamia na kuuchoma moto Msikiti mmoja katika eneo linalokaliwa la Ukingo wa Magharibi huku picha zinazosambaa zimeonyesha uharibifu katika eneo hilo la ibada.
Urusi Alhamis imesema kuwa Ukraine italazimika kuingia katika mazungumzo ya kusitisha vita "karibuni au baadae" la sivyo itajikuta katika nafasi mbaya zaidi.
Kufukuzwa kwa wahamiaji waliofungwa kwa makosa mbalimbali nchini Marekani ni sehemu ya mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kupambanao. Wengi wao wamepelekwa katika nchi za Afrika na Amerika…
Rais wa Zanzibar, Dokta Hussein Ali Mwinyi, leo ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye sura ya mabadiliko na uwiano wa kisiasa, akiongeza idadi ya wizara hizo kutoka 18 hadi 20.
Uhuru wa matumizi ya mtandao wa intaneti unaripotiwa kuporomoka nchini Marekani na Ujerumani wakati mataifa hayo ya Magharibi yakiungana na nchi zinazoongozwa kimabavu kuweka vikwazo vya kubinya uhuru wa kujieleza.
Wakati mkutano wa kimataifa wa mazingira wa COP30 ukiendelea huko Brazil, uzalishaji wa hewa chafu duniani unaendelea kuongezeka, muongo mmoja baada ya makubaliano ya mazingira ya Paris.
Kuongezeka kwa kasi kwa idadi ya wanawake wafungwa katika magereza ya Uganda kumeibua mjadala miongoni mwa jamii.Huku mamlaka ya magereza ikielezea kuwa wengi wao hufungwa kutoka na migogoro ya kifamilia…
Bunge la Tanzania limempitisha Mwigulu Lameck Nchemba mbunge wa jimbo la Iramba mkoani Singida, kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasilisha bungeni jina…
Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nchi za nje Marco Rubio, imesema inamatumaini kwamba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litakamilisha azimio kuhusu Gaza.
Mawaziri wa sheria na nishati nchini Ukraine, German Galushchenko na Svitlana Hrynchuk, wamejiuzulu jana Jumatano kufuatia madai ya kuhusika kwao na sakata kubwa la ufisadi katika sekta ya nishati nchini…
Mawaziri wa nchi za nje wa mataifa saba yaliyoendelea kiviwanda duniani G7, wamekosoa vurugu za Sudan wakisema mapigano kati ya jeshi la taifa hilo na wanamgambo wa RSF, yamesababisha mgogoro…
Kiongozi wa serikali ya mpito Bangladesh Muhammad Yunus, amesema nchi hiyo inaandaa kura ya maoni kuhusu utekelezaji wa makubaliano ya mwezi Julai ya kuwa na mageuzi ya kitaifa, yaliyoandaliwa baada…
ais wa Israel, Isaac Herzog na baadhi ya maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi wamelaani mashambulizi ya Jumanne yaliyofanywa na Walowezi wa Kiyahudi dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa…
Syria ilijiunga na kundi linaloongozwa na Marekani la mataifa yanayopambana dhidi ya kundi la "Dola ya Kiislamu”, hatua hii ya Syria ina umuhimu mkubwa zaidi katika kujipanga upya kwa wahusika…
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa kundi la nchi saba zilizoendelea kiviwanda duniani G7 wamejadiliana jinsi ya kuishinikiza Urusi katika vita vyake nchini Ukraine.
Mashirika kote duniani yamewekeza hela nyingi kwenye teknolojia ya akili mnemba ila changamoto zimejitokeza. Gharama na faida ambayo havitabiriki, kupungua kwa watumiaji ni ishara kuwa mambo huenda yakabadilika.
Wakati Mkutano wa COP30 unapoanza nchini Brazil, jamii za vijijini nchini Ghana zinaongoza juhudi za chini kwa chini kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, kwa kutumia maarifa ya asili ili kulinda…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua kukomesha usambazaji wa silaha kwa wanamgambo wa RSF akitaja hali nchini Sudan kuwa…
Serikali ya Kenya imesema zaidi ya raia wake 200 wamejiunga na jeshi la Urusi katika vita vinavyoendelea nchini Ukraine huku baadhi ya mashirika ya ajira yakiendelea kuwashawishi Wakenya zaidi kujiunga…
Katika mkutano uliofanyika nchini Canada, mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zilizoendelea kiviwanda duniani G7 wametoa wito wa dharura wa kusitishwa kwa vita vinavyoendelea nchini Ukraine.
Katika juhudi za kuhakikisha makubaliano ya kina kuhusu mabadiliko ya tabianchi, Brazil imeamua kuongeza muda wa mazungumzo katika mkutano wa mazingira wa COP30.
Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wameungana kwa mkakati wa kihistoria - kuoanisha Ajenda 2030 na Ajenda 2063 - ili kuleta amani endelevu, maendeleo jumuishi na uwakilishi wa haki…
Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf, amekanusha vikali madai ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Wakristo kaskazini mwa Nigeria.
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zilizoendelea kiviwanda duniani G7 wameeleza wasiwasi wao kuhusu kuzorota kwa hali ya usalama nchini Sudan+++Wiki hii Syria ilijiunga na kundi linaloongozwa na Marekani…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemtaka waziri wa sheria German Galushchenko na waziri wa nishati Svitlana Hrynchuk kujiuzulu kufuatia uchunguzi wa sakata ya ufisadi katika sekta ya nishati nchini humo.
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimetoa takwimu zinazoonyesha takribani watu 641 nchi nzima wamepelekwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uhaini kutokana na vurugu za Oktoba 29 wakati wa Uchaguzi Mkuu…
Mahakama maalum ya uhalifu nchini Gabon imemhukumu mke wa rais wa zamani wa nchi hiyo Ali Bongo, Sylvia Bongo na mwanawe Noureddin Bongo kifungo cha miaka 20 jela bila kuwepo…
Ufaransa na mamlaka ya Palestina zimepanga kuunda kamati ya pamoja kushughulikia uimarishaji wa mpango wa kuundwa dola la Palestina huku Ufaransa ikiionya Israel dhidi ya kunyakuwa eneo la Ukingo wa…
Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametoa wito wa uchunguzi kuhusu kile kinachoaminika kuwa mauaji ya mamia ya watu yaliofanywa wakati wa maandamano…
Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa ya G7 umeanza nchini Kanada ambao unajikita kujadili masuala ya usalama, mwenendo wa vita vya Urusi na Ukraine na amani katika…
Mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d'Or anapambana ili aweze kucheza katika Kombe la Dunia kwa mara yake ya sita. Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2006.
Mamia ya Waisraeli wamekusanyika hii leo katika mji wa kati wa Kfar Saba kwa mazishi ya afisa wa jeshi Hadar Goldin baada ya Hamas kurejesha mabaki yake zaidi ya muongo…
Maseneta nchini Marekani wamefikia makubaliano ya kurejesha ufadhili kwa serikali kuu na kukomesha hatua ya ufungwaji wa shughuli za uendeshaji serikali ambazo zimeingia siku yake ya 40.
Kamishna Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, Volker Türk, hii leo amesema ni lazima uchunguzi ufanyike kuhusu mauaji na ukiukwaji mwingine uliofanywa wakati wa uchaguzi…