AFCON: Vita ya vigogo wa soka barani Afrika
Nusu fainali za mwaka huu za michuano ya AFCON 2025 zinawakutanisha vigogo wanne wa soka barani Afrika: Senegal, Misri, Nigeria na Morocco.
Nusu fainali za mwaka huu za michuano ya AFCON 2025 zinawakutanisha vigogo wanne wa soka barani Afrika: Senegal, Misri, Nigeria na Morocco.
Meta yafunga zaidi ya akaunti 544,000 nchini Australia baada ya marufuku.
Kocha wa Morocco Walid Regragui ameibuka kwa hasira na kupinga vikali madai kwamba timu yake inanufaika na maamuzi ya upendeleo katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025…
Mahakama ya Umoja wa Mataifa yaanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Myanmar.
Wapiganaji wa mwisho wa vikosi vinavyoongozwa na Wakurdi wameondoka katika mji wa Aleppo kaskazini mwa Syria kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano makali yaliyodumu kwa siku kadhaa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul, anakutana siku ya Jumatatu na mwenzake wa Marekani Marco Rubio mjini Washington, kuhusu vitisho vya Marekani kuchukua Greenland hata kwa nguvu.
Mamlaka za Iran zimedai kuwa hali imedhibitiwa baada ya maandamano kuitikisa Jamhuri hiyo ya Kiislamu. Wanaharakati wametahadharisha kuwa kuzimwa kwa intaneti kunaficha vitendo vya ukandamizaji na mauaji.
Ujerumani na India zimepanga kuongeza ushirikiano wao katika sekta ya ulinzi.
Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walioko katika kambi ya Bikinga nchini Burundi, wamedai kutoridhishwa na hali ya maisha kutokana na huduma dhaifu za afya, makazi duni na hali…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi, amesema siku ya Jumatatu kwamba hali nchini humo imedhibitiwa kikamilifu baada ya ukandamizaji wa kikatili wa maandamano ya nchi nzima.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameanza ziara rasmi India Jumatatu na kuifanya nchi hiyo ya watu wengi zaidi ya wakazi bilioni 1.4 kuwa kituo chake cha kwanza kikubwa cha Asia…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amewasili India leo Jumatatu kwa ziara rasmi ya siku mbili kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran lenye makao yake nchini Norway limesema mamlaka za Iran zimefanya mauaji ya halaiki.
Serikali ya Syria imeudhibiti kikamilifu mji wa Aleppo siku ya Jumapili baada ya kuvichukua vitongoji vya Wakurdi vya jiji hilo.
Myanmar imeanza duru ya pili ya upigaji kura jana Jumapili katika uchaguzi wake mkuu wa kwanza tangu jeshi lilipochukua madaraka miaka mitano iliyopita.
Raia wa Venezuele wameendelea kusubiri kuachiwa huru idadi kubwa ya wafungwa wa kisiasa kufuatia ahadi iliyotolewa na rais wa mpito Delcy Rodriguez Alhamisi wiki iliyopita.
Iran yadai kuwa hali kwa sasa "imedhibitiwa kikamilifu"+++Serikali ya Uganda imeipinga ripoti ya Umoja Mataifa inayoikosoa vikali kwa ukandamizaji dhidi ya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu+++Ujerumani na India zakubaliana kuimarisha usalama…
Serikali ya Uganda imeipinga ripoti ya Umoja Mataifa inayoikosoa vikali kwa ukandamizaji dhidi ya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu. Sikiliza ripoti kwa kina.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz awasili India kwa ziara rasmi ya siku mbili. Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran latahadharisha kuhusu mauaji ya halaiki katika maandamano. Na Syria…
Kutoka Ghetto ya Kampala hadi jukwaa la siasa za kitaifa, Bobi Wine amegeuka kuwa sauti ya vijana na changamoto kwa utawala wa miongo minne wa Rais Museveni, wakati Uganda ikielekea…
Kutoka Ghetto ya Kampala hadi jukwaa la siasa za kitaifa, Bobi Wine amegeuka kuwa sauti ya vijana na changamoto kwa utawala wa miongo minne wa Rais Museveni, wakati Uganda ikielekea…
Jeshi mitaani, mashaka juu ya uchaguzi wa haki na hofu ya vurugu. Wengi wanatumaini mabadiliko, lakini wengine wanahofia machafuko, ukandamizaji na muendelezo wa utawala wa miongo minne wa Rais Yoweri…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amedai Marekani na Israel wanataka "kusababisha ghasia na kulivuruga taifa" hilo kwa kuamuru maandamano yanayoendelea nchini humo ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha.
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Leo XIV amewaombea watu wote waliouawa katika maandamano ya Iran na katika mzozo wa Syria akitoa wito wa majadiliano na amani, katika ibada yake…
Rais wa Marekani Donald Trump, ameitolea mwito Cuba, kutafuta "makubaliano ya aina fulani" na Marekani au "itaonja cha mtemakuni" akisema kwamba kuanzia sasa Cuba haitopata tena fedha na mafuta kutoka…
Waziri Mkuu wa Sudan Kamil Idris ametangaza kwamba serikali ya taifa hilo imerejea mjini Khartoum, baada ya takriban miaka mitatu ya kufanya kazi katika mji unaokumbwa na vita wa Port…
Iran imezitishia Israel na Marekani kwamba itazishambulia vikali iwapo Washington, itajaribu kuishambulia Tehran kwa kile inachosema ni kuunga mkono maandamano ya kupinga ugumu wa maisha.
Wanajeshi wa Israel na wanamgambo wa kipalestina wa Hamas wanasemekana kujitayarisha kuanzisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
Vyama vya upinzani na makundi ya kutetea haki za binadamu Venezuela, yamesema afisa wa polisi aliyekamatwa na kutuhumiwa kwa "uhaini" dhidi ya taifa hilo amefariki akiwa kizuizini.
Marekani imeanzisha mashambulizi mengine ya kulipiza kisasi dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu Syria, kufuatia shambulizi lililofanywa na kundi hilo lililosababisha mauaji ya wanajeshi wa Marekani.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anaelekea India hii leo Jumapili wakati kukiwa na changamoto kubwa barani Ulaya ikiwemo kupanda kwa ushuru wa Marekani pamoja na vitisho vya Urusi na China.
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa China Wang Yi ameonya dhidi ya uingiliaji wa kigeni nchini Tanzania katika wakati taifa hilo linakabiliwa na shinikizo la kimataifa kufuatia ghasia za baada…
11.01.202611 Januari 2026 Iran yatishia kuzishambulia Israel na Marekani iwapo Trump ataishambulia Tehran +++Israel na Hamas zinajitayarisha kuanzisha tena vita Ukanda wa Gaza +++Na upinzani Venezuela wasema afisa aliyetuhumiwa kwa…
Gavana wa mji wa Aleppo nchini Syria Azzam al-Gharib amesema kwamba mapigano yanayoendelea katika vitongoji vya Wakurdi kaskazini mwa Syria yamewafanya takribani watu zaidi ya 155,000 kuyakimbia makazi yao.
Shirika la kimataifa la ufuatiliaji wa intaneti la NetBlocks limesema kwamba "vipimo vyake vinaonyesha kuwa kukatika kwa intaneti kote nchini kunaendelea kutumika hata baada ya saa 36.
Shirika hilo limesema kati ya jumla ya vifo 53 vilivyorekodiwa, watu 25 wamekufa kutokana na mlipuko wa kipindupindu, huku wengine sita wakifariki kutokana na upungufu wa damu na matatizo yanayohusiana…
Ni Nigeria Super Eagles dhidi ya Algeria majira ya saa moja jioni kwa saa za Afrika Mashariki katika uwanja Stade de Marekhesh huku Misri wakiwa kibaruani kumenyana na mabingwa watetezi…
Jeshi la Iran lasema litalinda miundombinu na mali ya umma, likiwataka Wairani kuzuia njama za adui huku mamlaka zikikandamiza maandamano.
Ni baada ya meya wa mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, Vitaliy Klitschko kuwasihi wakazi katika mji huo kuondoka mara moja kutokana na kukatika kwa umeme katika sehemu kubwa ya mji…
Mashambulizi hayo ya vikosi vya serikali yamefanyika usiku kucha katika eneo hilo la Sheikh Maqsud baada ya muda wa mwisho uliowekwa kwa wapiganaji wa Kikurdi kusitisha mapigano na kujiondoa katika…
Akiyazungumzia maandamano hayo kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwake, Kiongozi mkuu wa Iran Ali Khamenei amewaita waandamanaji hao kuwa ni waharibifu na wahalifu na kuishutumu Marekani kwa kuichochea hali…
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla katika Ikulu ya White House, Trump amesema Washington itafanya "kitu" kuhusu Greenland, iwe wengine wanapenda au la.
Umoja wa Mataifa wasema wakimbizi 53 wa Kongo wamefariki nchini Burundi+++Serikali ya Iran yaendelea kuzima intaneti+++Zaidi ya watu 150,000 wayakimbia makazi yao kaskazini mwa Syria kufuatia vurugu+++Nigeria na Algeria kukipiga…
Umoja wa Ulaya unasema machafuko dhidi ya waandamanaji wa Iran hayakubaliki.
Waziri wa Mambo ya Nje wa ujerumani Johann Wadephul anakwenda Washington katikati ya majadiliano yanayoendelea kuhusiana na usitishwaji wa mapigano nchini Ukraine na vitisho vya Marekani vya kuinyakua Greenland.
Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni leo amesema Umoja wa Ulaya unapaswa kuanza tena mazungumzo ya ngazi ya juu na Urusi huku Brussels ikijaribu kivifikisha mwisho vita vya Ukraine, akihimiza…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea masikitiko yake kwa hatua ya Marekani kutangaza kujiondoa kutoka kwa mashirika 66 ya kimataifa.
Wizara ya mambo ya nje ya Somalia imetangaza Ijumaa kwamba mwanadiplomasia mkuu wa China Wang Yi ameahirisha ziara yake iliyokuwa imepangwa katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema mashambulizi ya pili dhidi ya Venezuela yamesitishwa. Amesema amechukua hatua hiyo baada ya wafungwa wa kisiasa kuanza kuachiwa huru katika taifa hilo la Amerika…
Katibu mkuu wa Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen Abdulrahman Jalal al-Sebaihi, amesema kundi hilo na taasisi zake zitavunjwa kuanzia Ijumaa.