08.01.2026 Matangazo ya Mchana
Rais wa Marekani, Donald Trump, amechukua hatua kubwa katika sera ya kimataifa kwa kuamuru Marekani ijiondoe kwenye mashirika 66 ya kimataifa+++Zimesalia siku sita kwa uchaguzi mkuu kufanyika Uganda
Rais wa Marekani, Donald Trump, amechukua hatua kubwa katika sera ya kimataifa kwa kuamuru Marekani ijiondoe kwenye mashirika 66 ya kimataifa+++Zimesalia siku sita kwa uchaguzi mkuu kufanyika Uganda
Iran inazidi kukabiliwa na shinikizo la kimataifa huku maandamano yakiongezeka. Kauli kali za Trump zatishia nguvu za kijeshi na kuongeza mvutano.
Hifadhi ya Taifa ya Virunga imetangaza kwamba Sokwe wa milimani anayeitwa Mafuko amezaa mapacha wawili wa kiume katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, eneo ambalo limekumbwa…
Papa Leo anaongoza kikao chake cha kwanza cha baraza la maaskofu tangu achaguliwe kwenye nafasi hiyo mwaka jana kufuatia kifo cha mtangulizi wake Papa Francis
Mataifa ya Umoja wa Ulaya yamekuwa yakihangaika kuisadia Ukraine kusimama imara dhidi ya Urusi,huku juhudi za kusaka usitishaji vita zikikabiliwa na vigingi
Denmark na Greenland zazidi kuingiwa na wasiwasi baada ya rais Trump kurudia tena kauli yake ya kutaka kuichukuwa Greenland akidai ni kwa faida za kiusalama
Mashambulizi ya Saudi ni baada ya Kiongozi wa baraza la mpito kukataa kushiriki mazungumzo ya nchini Saudi Arabia na hivyo kufukuzwa kwenye wadhifa wake na kukabiliwa na tuhuma za uhaini
Umoja wa Mataifa umesema kuwa miongo kadhaa ya vitendo vya ubaguzi dhidi ya Wapalestina vinavyofanywa na Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu, vinazidi kuongezeka.
Cyprus, Ugiriki na Israel zinatarajia kutanua luteka na mafunzo ya pamoja ya kijeshi. Hata hivyo, Uturuki inaonekana kuwa na wasiwasi zaidi kutokana na nchi mbili wanachana wa Umoja wa Ulaya…
Denmark na Greenland wanatafuta mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, baada ya Marekani kusisitiza kwa mara nyingine nia yake ya kutaka kuidhibiti Greenland — kisiwa…
Mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya Saudi Arabia dhidi ya silaha za Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen yameweka wazi tofauti kubwa za sera za kigeni kati ya…
Wang Yi atazitembelea Ethiopia,Somalia,Tanzania na Lesotho, wakati nchi yake ikitafuta kutanuwa zaidi ushawishi wake kwenye bara hilo na hasa kiuchumi
Uganda itafanya uchaguzi mkuu, Januari 15 huku rais wa muda mrefu Yoweri Museveni akiwa tayari kukabiliana na wagombea wengine saba kwenye kinyang'anyiro cha urais.
Jamhuri ya kiislamu ya Iran imeonya dhidi ya vitisho vya mataifa ya kigeni, ikisema haitokaa kimya kuacha iendelee kuchokozwa,baada ya Israel na Marekani kuunga mkono maandamano ya wananchi Iran
Venezuela imetangaza wiki moja ya kuwaomboleza wanajeshi waliouawa katika shambulio la Marekani. Cuba pia yatangaza siku mbili za kuwaomboleza wanajeshi waliouawa nchini Venezuela.
Makadinali wadaiwa kutaka kupewa fursa ya kuwa sehemu ya maamuzi katika masuala ya kanisa kwenye ngazi ya kimataifa
Timu ya mwisho iliyokuwa ikiwakilisha eneo la la Afrika Mashariki na Kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeyaaga mashindano ya AFCON baada ya kufungwa na Algeria bao 1-0 katika…
Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Poland wanatarajiwa kukutana mjini Paris, ambapo uungaji mkono wao kwa Ukraine utakuwa miongoni mwa ajenda kuu za mazungumzo.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amedokeza kuwa anazifikiria nchi nyingine baada ya kumteka Kiongozi wa Venezuela, Nicolas Maduro.
Wale waliokuwa na matumaini kwamba mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Maria Corina Machado, angeiongoza Venezuela walikatishwa tamaa: Marekani na Donald Trump wanaendelea na aliyekuwa makamu wa rais, Rodríguez.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar yuko ziarani Somaliland katika hatua inayotajwa kuwa ya kihistoria na yenye uzito mkubwa wa kisiasa na kidiplomasia.
Waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon Saar ameahidi kwamba nchi yake itakuza uhusiano wenye mafanikio na Somaliland baada ya kuwa nchi ya kwanza kutambua uhuru wa eneo hilo…
Serikali ya Somalia imekasirishwa na ziara ya Waziri wa Mambo ya nje wa Israel Gideon Saar, ikiitaja ziara hiyo kama "uvamizi haramu" na "usioidinishwa."
Maelfu ya wafuasi wanayoiunga mkono serikali ya Venezuela wameandamana katikati mwa mji mkuu Caracas wakitaka kurejeshwa rais aliyeondolewa madarakani Nicolás Maduro na mke wake Cilia Flores.
Washirika wa Ukraine wamesema wamepiga hatua muhimu kuelekea kufikia makubaliano mapya kuhusu jinsi ya kuilinda nchi hiyo endapo mazungumzo ya amani kati ya Kyiv na Moscow yatafanikiwa.
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025 imeingia hatua ya robo fainali - hatua ambayo mara nyingi hutazamwa kama kipimo halisi cha ubora wa timu na uimara wa…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar yuko ziarani Somaliland katika hatua inayotajwa kuwa ya kihistoria na yenye uzito mkubwa wa kisiasa na…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Poland wanatarajiwa kukutana mjini Paris, ambapo uungaji mkono wao kwa Ukraine utakuwa miongoni mwa ajenda kuu…
Viongozi wa nchi rafiki wa Ukraine wamekutana Paris kujadili dhamana za usalama endapo amani na Urusi itafikiwa, lakini mvutano wa kisiasa, msimamo wa Urusi na mwelekeo wa Marekani vinaacha maswali…
Nchi tatu za Afrika wanachama wa muda katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa zaikosoa Marekani kwa kuishambulia Venezuela na kumteka kiongozi wake Nicolas Maduro.
Jumla ya watu 130 nchini Rwanda walifariki dunia kutokana na kupigwa na radi kati ya mwezi wa kwanza wa mwaka jana wa 2025 na mwezi wa kwanza mwaka huu wa…
Rasimu ya tamko la pamoja imesema kuwa Marekani iko tayari kuongoza mfumo wa kufuatilia na kuthibitisha usitishaji mapigano nchini Ukraine endapo makubaliano ya amani yatafikiwa na Urusi.
Wanafamilia wa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole leo wamekwenda kufanya maombi maalum na kuchukua mali za balozi huyo kutoka kwenye nyumba aliyokuwa akiishi eneo la Ununio jijini…
Hasira na hofu vimeendelea kutanda katika baadhi ya maeneo ya mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, baada ya shambulio la kuchoma miundombinu ya umeme, linalodaiwa kufanywa na kundi la mrengo mkali…
Kiongozi wa wapinzani wanaotaka kujitenga Yemen anaelekea Riyadh kwa ajili ya mazungumzo, kwa mujibu wa afisa mmoja wa Yemen aliyezungumza kwa sharti la kutotajwa jina.
Bei za mafuta zimepanda kidogo huku masoko ya hisa yakifikia viwango vipya vya juu siku ya Jumanne, wakati wawekezaji duniani wakiendelea kufuatilia matukio yanayohusiana na Venezuela.
Mohamed Salah alifunga bao la dakika za mwisho na kuipeleka Misri robo fainali ya AFCON, huku Nigeria ikionesha ubabe kwa ushindi mkubwa wa 4-0 dhidi ya Msumbiji na kujitangaza kama…
Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela Maria Corina Machado amempongeza Rais wa Marekani Donald Trump kwa kumkamata kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea wasiwasi wake kuhusu ukosefu wa utulivu nchini Venezuela baada ya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro. Marekani inasema haina mpango wa kuikalia…
Baraza la Usalama la UN laingiwa na wasiwasi kuhusu mustakabali wa Venezuela baada ya kutekwa kwa kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro
Kiongozi wa Venezuela Nicolás Maduro amejitangaza kuwa "rais halali wa Venezuela" wakati akipinga kukamatwa kwake nchini Marekani na amekanusha mashtaka mazito yanayomkabili ya usafirishaji wa dawa za kulevya.
Kwa mara ya kwanza, raia wengi wa Uganda wanaonekana kugundua nguvu ya kutumia bendera ya taifa lao kama chombo cha kujieleza kisiasa.
Rais Volodymyr Zelensky amesema Marekani itaipatia Ukraine dhamana "kubwa" ya usalama kwa kipindi kinachoweza kuongezwa cha hadi miaka 15, ingawa amesema Kyiv inataka hakikisho la muda mrefu zaidi.
Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa hii leo kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwenye makazi yake binafsi ya Mar- a-Lago, Florida kujadiliana awamu inayofuata ya mpango wa…
China imeanza mazoezi ya kijeshi ikitumia silaha za moto karibu na Taiwan Jumatatu yanayofanana na namna watakavyokizingira kisiwa hicho kinachojitawala.
Somalia imekosoa vikali uamuzi wa Israel wa wiki iliyopita wa kuitambua rasmi Somaliland kuwa taifa huru, ikisema hatua hiyo ni tishio kwa mamlaka ya taifa, umoja wa watu wa Somalia,…
Mapigano yameibuka kati ya waandamanaji kutoka madhehebu ya wachache ya Waalawi na wanaopinga maandamano hayo na kusababisha vifo vya karibu watu wanne na wengine kadhaa kujeruhiwa.
China imezindua luteka ya kijeshi karibu na kisiwa cha Taiwan, ikitumia silaha nzito za moto. Beijing imesema hayo ni mazoezi ya kijeshi yanayofanana na namna watakavyokizingira kisiwa hicho kinachojitawala chenyewe.
Takriban watu 4 wamepoteza maisha jana Jumapili baada ya kuzuka makabaliano wakati wa maandamano yaliofanywa na jamii ya walio wachache nchini Syria ya Waalawi.
Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba Ukraine na Urusi ziko karibu kufikia makubaliano ya amani. Aliyasema hayo alipomkaribisha Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kwenye makazi yake ya Florida.