Watumiaji wa X: Hamas imehuisha jina Palestina/ Israel ndilo neno linalochukiwa zaidi duniani
Katika radiamali kwa makubaliano ya kuhitimisha vita huko Gaza, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesema utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake dhidi ya muqawama wa Kiislamu wa…