Burkina Faso yavunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa, yaituhumu kwa kuingilia mambo yake ya ndani
Burkina Faso imevunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa, na hivyo kuwa taifa jipya zaidi la Afrika Magharibi kujitenga na aliyekuwa mtawala wake wa kikoloni baada ya miaka ya kuzorota kwa…