Utafiti: Vita vya Gaza vinawasukuma Waingereza kwenye dini ya Uislamu
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Uingereza ya Athari ya Imani katika Maisha (IIFL) umeonyesha kuwa migogoro ya kimataifa ni sababu kuu kwa Waingereza kukubali dini ya Uislamu.
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Uingereza ya Athari ya Imani katika Maisha (IIFL) umeonyesha kuwa migogoro ya kimataifa ni sababu kuu kwa Waingereza kukubali dini ya Uislamu.
Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimeanza mazoezi makubwa katika Ghuba ya Uajemi, kikionyesha uwezo wa hali ya juu wa kujilinda na kushambulia ulioimarishwa…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kwamba mauaji ya mshirika wa Israel na kiongozi wa genge lenye uhusiano na Daesh, Yasser Abu Shabab, ni hatima isiyoepukika ya…
Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari kuhusu ongezeko la vifo vinavyosababishwa na mabomu ya kutegwa ardhini huku kukiwa na upungufu wa ufadhili wa programu za kutegua mabomu hayo.
Kamanda wa manuva ya kupambana na ugaidi ya "Sahand 2025" ameuelezea ujumbe wa mazoezi hayo ya kijeshi kuwa ni juhudi za pande zote za kupambana na ugaidi, akisema: "Vikosi vya…
Mitaa ya mji mkuu wa Iraq, Baghdad usiku wa kuamkia leo ilishuhudia misafara mirefu ya magari, yaliyokuwa yakipeperusha bendera za harakati za Muqawama wa Kiislamu za Hizbullah ya Lebanon na…
Rais wa Marekani Donald Trump amewasifu marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda kwa kile alichokiita "ujasiri" wao wa kusaini makubaliano mapya yanayolenga kukomesha mzozo wa muda mrefu…
Yasser Abu Shabab, mshirika wa kijeshi wa utawala wa kizayuni wa Israel mwenye uhusiano pia na kundi la kigaidi la DAESH (ISIS), maarufu kwa kuongoza uporaji wa misaada ya kibinadamu…
Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa, karibu nusu ya raia wa nchi wananchama wa Umoja wa Ulaya, EU wanamwona Rais wa Marekani Donald Trump kama "adui wa Ulaya,"…
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad-Baqer Qalibaf amesema ingawa Iran iko wazi kwa diplomasia, lakini haitalegeza kamba katika suala la usalama wa taifa na nguvu zake za ulinzi.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imezitaka mahakama za kimataifa na vyombo husika kuwafungulia mashtaka wale waliohusika wa uhalifu wa kivita baada ya uchunguzi kufichua kwamba wanajeshi wa…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametoa indhari kuhusu hatari ya kuzuka wimbi jipya la ukatili katika eneo la Kordofan, Sudan, baada ya kushadidi…
Matamshi ya dharau yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu watu na nchi ya Somalia yamesababisha wimbi la hasira na majibu makali.
Utafiti mpya unaonyesha kwamba wasichana na wanawake nchini Uingereza bado wanahisi hawako salama katika maeneo ya umma.
Donald Trump, Rais wa Marekani, ameendeleza mashambulizi makali dhidi ya wahamiaji wa Kisomali akisema: “Somalia inanuka.” Aidha, alimueleza Ilhan Omar, mbunge wa Kidemokrasia na Mwislamu, kuwa ni “takataka.”
Leo ni Ijumaa tarehe 14 Jumadithani 1447 Hijria sawa na Disemba 5 mwaka 2025.
Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei katika Baraza la Ulinzi la Iran amelionya Baraza la Ushirikiano la Nchi za Ghuba ya Uajemi dhidi ya madai…
Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limetaka kufanyike uchunguzi wa uhalifu wa kivita kuhusu shambulio lililofanywa na kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) nchini Sudan katika…
Meya wa Bat Yam katikati ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, zilizopachikwa jina bandia la Israel , amekiri kuongezeka kwa ushawishi wa kijasusi wa Iran.
Muungano wa makundi ya kisheria umeonya shirika la Microsoft kwamba utoaji wake wa huduma kwa Israel wakati wa vita vya mauaji ya kimbari huko Gaza huenda ukaiweka kampuni hii kubwa…
Waziri Mkuu wa Somalia, Hamza Abdi Barre, siku ya Jumatano amekosoa matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump yaliyolenga Somalia na wahamiaji wa Kisomali walioko Marekani.
Press TV ya Iran imezindua kitengo cha lugha ya Kiebrania jambo ambalo limezua hofu katika duru za vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel kwani hatua hiyo inaonekana…
Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametoa onyo kali kwa Marekani na washirika wake kuhusu Ghuba ya Uajemi na Mlango-Bahari wa Hormoz, akisema usalama…
Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani namna Israel ilivyoendesha vita dhidi ya Gaza na kuutaja mwenendo huo kuwa kimsingi si sahihi. Amesema, kuna sababu kubwa" za kuamini…
Ethiopia jana iliikosoa vikali Misri na kuituhumu nchi hiyo kwa kuyumbisha utulivu wa eneo la Pembe ya Afrika ili kudumisha ukiritimba wa kikoloni mwa Mto Nile.
Ethiopia jana iliikosoa vikali Misri na kuituhumu nchi hiyo kwa kuyumbisha utulivu wa eneo la Pembe ya Afrika ili kudumisha ukiritimba wa kikoloni mwa Mto Nile.
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha rasimu ya azimio llinaloitaka Israeli iondoke kwenye maeneo ya Palestina iliyoyavamia na kuyakaliwa kwa mabavu tangu 1967, ikiwa ni pamoja na al-Quds Mashariki.…
Maafisa katika mji wa Minneapolis nchini Marekani wameungana ili kuondoa hofu iliyotanda miongoni mwa jamii kubwa ya Wasomali katika mji huo.
Serikali ya China imetangaza kuwa, inapinga vikali uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela.
Leo ni Alkhamisi tarehe 13 Jamadithani 1447 Hijria sawa na Disemba 4 mwaka 2025.
Ripoti ya uchunguzi ya bunge la Kenya imewatuhumu wanajeshi wa Uingereza walioko nchini humo kwa unyanyasaji wa mara kwa mara wa kingono, mazoezi yasiyo salama na ukiukaji wa mazingira. Ripoti…
Kundi la madaktari wa Sudan limesema kuwa lina wasiwasi mkubwa kuhusu hatima ya makumi ya watoto na wanawake katika mji wa Babnousa huko Kordofan Magharibi, baada ya mapigano kati ya…
Umoja wa Mataifa jana Jumatano ulikosoa kuongezeka ukandamizaji dhidi ya upinzani na vyombo vya habari nchini Uganda kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao, na kutaka uchunguzi ufanyike bila upendeleo…
Mazoezi maalumu ya kupambana na ugaidi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO), "Sahand 2025," yanafanyika katika Kaunti ya Shabestar, Mkoa wa Azerbaijan Mashariki, nchini Iran.
Pascal Ogowé Siffon Waziri wa Utalii wa Gabon amewekwa katika kifungo cha nyumbani baada ya kukamatwa. Hatua hii imechukuliwa baada ya Waziri huyo wa Utalii wa Gabon kujaribu kuondoka Libreville.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameashiria mwenendo wa Magharibi wa kukazania kueneza utamaduni wake potofu duniani na kueleza kwamba: "wao wanadai kuwa mipaka maalumu iliyowekwa…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameashiria mwenendo wa Magharibi wa kukazania kueneza utamaduni wake potofu duniani na kueleza kwamba: "wao wanadai kuwa mipaka maalumu iliyowekwa…
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotangaza kuwa, kuendelea Israel kuikalia kwa mabavu na kuiunganisha na upande wake Miinuko ya Golan ya Syria ni "kinyume cha sheria" na…
Serikali ya Libya imetangaza kuwa itaongeza kasi ya kuwarejesha makwao wahamiaji wasio halali wa Kiafrika wa nchi za chini ya Jangwa la Sahara, lakini imesema, kwa upande wa wakimbizi wa…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) barani Ulaya mara nyingi huchochewa na wale wanaotaka kuwatenga watu wa imani na mbari tofauti na…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) barani Ulaya mara nyingi huchochewa na wale wanaotaka kuwatenga watu wa imani na mbari tofauti na…
Ilhan Omar, mbunge Muislamu anayewakilisha jimbo la Minnesota kwa tiketi ya chama cha Democrat amejibu mapigo kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump baada ya kiongozi huyo kuanzisha tena mashambulizi…
Niger imeanza kuuza urani yake katika soko la kimataifa baada ya kukata mkono wa Ufaransa katika sekta ya madini hayo nchini humo.
Hivi karibuni mamlaka na vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kupata kipigo kikali kutokana na vita vya Ghaza na mashambulizi ya kulipiza kisasi ya makombora ya Iran na kwamba kukiri…
Hivi karibuni mamlaka na vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kupata kipigo kikali kutokana na vita vya Ghaza na mashambulizi ya kulipiza kisasi ya makombora ya Iran na kwamba kukiri…
Duru za kuaminika za Marekani na Israel zimefichua kuwa, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu amemuomba kwa kumsisitiza rais wa Marekani, Donald Trump afanye kila awezalo kuhakikisha kuwa…
Mratibu wa Msuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan amesema mapema leo Jumatano kwamba maeneo mengi ya makazi ya raia nchini humo yamezingirwa na haiwezekani kuyafikishia misaada.
Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin, amesema kuwa, hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanyika kuhusu kusimamishwa vita wakati wa mkesha wa X-Mass na mwaka mpya huko Ukraine.
Mapigano yamezidi kupamba moto mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huku jeshi na waasi wa M23 kila upande ukimshutumu mwenzake kwa kukanyaga makubaliano ya kusitisha mapigano.
Leo ni Jumatano tarehe 12 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na tarehe 3 Disemba, 2025.